wakadinali - toka mapema كلمات الأغنية
big beats, beats, beats afriq
utatoka mapema, wakadinali aah
utatoka mapema aai
aah natembeza kalesa mbaka jerusalem
moshi, ni ya mavela ju sijai gusa ngem
chopi, mnaweza sema ati kamusi ndio brain
hii ni kikosi imepewa ma hallucinogen
na ni revolutionary, makali ndio inayonifanya
nibaki na liver nusu yani, judas kunibusu yani
ndio anidunge mishumari (mishumari)
hata ukuje kisu nami, nimejiamu kisunami
siwezi block wacha iende crazy c_ck
cheli kende, helicopter na rende ya macops
na ma media
hii ni ya, hii town ndani ya, hii sound
deep down wanajua nakalia, hii crown
utahitaji kipaji ndio ucheze hii cardi
key paddy ndio ufunge hii kazi
itaa adi paddy ndio akufafanulie deep adi
keep adding adding adi ndio upate ni kipaji
utatoka mapema, utatoka mapema
ukileta rapsha ni rapturе itafwata
utatoka mapema, utatoka mapema
utatoka mapema aai, utatoka mapеma
utatokamapema, utatoka mapema
hii vacation twakesha ukikerwa
utatoka mapema, utatoka mapema
utatoka mapema utatoka mapema aai
soma mbali kakidof stafs
niliamua nidivorce cheques ndio nideposit cash
napiga biz, river valleys n_z_cross plus
soko ni ya muda so as to ask
offer valid wali stocks last, mwaga weird at last
nikitema pema waria, vitu naspit na adhere
ni same na ken wa maria
madha alisay usiajiriwe ndugu, tumia kipaji
nairobi kuishi ni ujanja, nguvu tumia kish_gi
nacamp venye mambo hugeuzanga magamba malaya
as if ni cotton kule tz huita pamba mavazi
ikiwa kwa hili kazi mi ndio fire mabars ambia hata mafuns
wacheki venye lyrical gangster namada maverse
mi hugamble ka mbuzi casino venye card nachew
simba ikiact a fool, nikiita inadishi pasture tu
wanashtuka venye nashikanga moto plus nacool
anzisha fracas niko fractures, ni ma plasters tu
utatoka mapema, utatoka mapema
ulileta rapsha ni rapture itafwata
utatoka mapema, utatoka mapema
utatoka mapema aai, utatoka mapema
utatokamapema, utatoka mapema
dem’ vacation twakesha ukikerwa
utatoka mapema, utatoka mapema
utatoka mapema utatoka mapema aai
eei mc si ya brikiwa para, since mziki wa daraja
wakadinali wantang’aa, ju si tunaishi kwa fanaka
huskii kwa dhiki na faraja (yeah)
huskii kwa dhiki na faraja
huskii kwa dhiki na faraja (eeh)
eei mc si ya brikiwa para, since mziki wa daraja
wakadinali wantang’aa, ju si tunaishi kwa fanaka
huskii kwa dhiki na faraja
huskii kwa dhiki na faraja
huskii kwa dhiki na faraja
utatoka mapema, utatoka mapema
ulileta rapsha ni rapture itafwata
utatoka mapema, utatoka mapema
utatoka mapema aai, utatoka mapema
utatokamapema, utatoka mapema
dem’ vacation twakesha ukikerwa
utatoka mapema, utatoka mapema
utatoka mapema utatoka mapema aai
utatoka mapema, utatoka mapema
ulileta rapsha ni rapture itafwata
utatoka mapema, utatoka mapema
utatoka mapema aai, utatoka mapema
utatokamapema, utatoka mapema
hii vacation twakesha ukikerwa
utatoka mapema, utatoka mapema
utatoka mapema utatoka mapema aai
utatoka ma
كلمات أغنية عشوائية
- crime in stereo - xxxx (the first 1000 years of solitude) كلمات الأغنية
- the free design - kije's ouija كلمات الأغنية
- dyze - fala bogu (outro) كلمات الأغنية
- oleska lozowchuk - looking for santa claus كلمات الأغنية
- running wild - ride on the wild side كلمات الأغنية
- ella mae morse - smack dab in the middle كلمات الأغنية
- dax - rap god 2 كلمات الأغنية
- georg kreisler - der zweck der kirche كلمات الأغنية
- jimmy lafave - the open space كلمات الأغنية
- r.l. - luv led me 2 u كلمات الأغنية