kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - sitafadhali lyrics

Loading...

nimeroll na kibenz tamashani
straight hadharani, mresh ka zamani
gwash flani venye wako s_xy mamami
na kushake stakabadhi
hali seist tafadhali
nimeroll na kibenz tamashani
straight hadharani, mresh ka zamani
gwash flani venye wako s_xy mamami
na kushake stakabadhi
hali seist tafadhali aah
yeah, mkadinali mi huw_nga wera tu hakina happy birthday nishai zoza
2_4_7 till feb 29th, watajuaje munga sina zodiac
crime daily sina mass following
f_ck diamond, hizo love song
si ndio machozi watakudry_dry, tumerudi kama waizi wa motobike
hivi ndio venye mi hudunda, klabu na ndenga mombasa kuchuda
swaga balaa navyo dunga, hadi watu wa mungu huchocha secret ni dumba
straight makilo finesse, watajuaje bazenga ako ndani ya nyumba
wife material my ass, cheki ratchet
anapretend na ni kuga
man mtaa mi ni hood rich, mike sonko bila hand outs
nikiraukanga huski ni uji
sababu lunch ni ndogogis tu na handas
ndio ujue za boychild zisharunda
kwetu hutargеt mtoto wa kike na kigunga
gang banging hapa, nairo sikuhizi gang lane ndio mtaa
nimeroll na kibеnz tamashani
straight hadharani, mresh ka zamani
gwash flani venye wako s_xy mamami
na kushake stakabadhi
hali seist tafadhali
nimeroll na kibenz tamashani
straight hadharani, mresh ka zamani
gwash flani venye wako s_xy mamami
na kushake stakabadhi
hali seist tafadhali aah
nimeroll na kibenz tamashani nakiset hadharani
dunga vest ‘pana shari, munga race kana salim
mkunywa pills na makali
nina prisca na zari, wanawhisper kwa umbali
ati please ka ni kadi
hizo biz ka ni funny, mimi siko hio kazi
ya ku breeze kanisani ulijisifu waziwazi
wana insists ‘kadinali keep it simple
hii ni mbogi ya kublaze hadi morning
zigizigi
aai, sijai tense kama kuna ngori nacool
thug face wrong rende ni ya ma gorilla tu
one take ki mark mende nina holy per crew
haiwes make ka kuweka nyama pori kwa zoo
nimeroll na kibenz tamashani
straight hadharani, mresh ka zamani
gwash flani venye wako s_xy mamami
na kushake stakabadhi
hali seist tafadhali
nimeroll na kibenz tamashani
straight hadharani, mresh ka zamani
gwash flani venye wako s_xy mamami
na kushake stakabadhi
hali seist tafadhali aah
nimeroll na kibenz tamashani
straight hadharani, mresh ka zamani
gwash flani venye wako s_xy mamami
na kushake stakabadhi
hali seist tafadhali
nimeroll na kibenz tamashani
straight hadharani, mresh ka zamani
gwash flani venye wako s_xy mamami
na kushake stakabadhi
hali seist tafadhali aah

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...