kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - seti / burn it lyrics

Loading...

seti mnati (ah ah)
burn it mbele ya warazi (shsh, shh sssh ssh)
seti mnati (ah ah)
burn it mbele ya warazi (shsh, shh sssh ssh)
seti mnati (ah ah)
burn it mbele ya warazi (shsh, shh sssh ssh)
seti mnati (ah ah)
burn it mbele ya warazi (shsh, shh sssh ssh)
after mboka, sato nilidoz njaa
nikitafuna mogoka
sina hata mbota kibro
jiulize niaje yut amesota
b_tch maker alibonda
siku hizi naflow nikiandika na echo ya itoka
ona sasa oga ametoka naija
akakuja kanairo kuthokoma
msape ni nani?
walishateam up hadi ganji wanaosha
mtape ni askari atakushika just for nothing
akuitishe sota, akutishe stoner
alafu ob uandike haukuwa sober
anyway soldier ako war
big up arme kulinda border
momo aliotkwa horror
siku hizi mi huzoza na wa ocha lodwar
back to mattress from baroda
wanataka wakidecode wakora
mocha imechrome dead bodies
ngong lang’ata imeshona
mangata iliponwa
plus redcross haisaidii mastoner
incase haujajua, tuko nigeria githarе
high ile mbaya usitense highgradе kiwake
ah mi ndio ule chizi unaskianga ako kwa hio market
ah karao alinibamba raia wakadai muache ah
seti mnati (ah ah)
burn it mbele ya warazi (shsh, shh sssh ssh)
seti mnati (ah ah)
burn it mbele ya warazi (shsh, shh sssh ssh)
seti mnati (ah ah)
burn it mbele ya warazi (shsh, shh sssh ssh)
seti mnati (ah ah)
burn it mbele ya warazi (shsh, shh sssh ssh)
ukame ukame ukame
wameraid zabe sai hana k_mali
inanik_mbusha soveit farming
dryspell realer siwezi piga farming
mandem driller, man dem k!ller
goat nikikuna n_z_
vitisho mbali mchezo hatutaki
si ndo machair kaa mbali
hatuogopi mnafik bl__dy
shida ni ka utanistainia shati
hatutoboki traffic mlazi huyu mblein
juu ameona tuko na ndechu mbathi
nilimburn kafati, k_mu initiate
kwa f_gi mtoto wa kibabi
si uliambiwa ukate riba zangu na wazazi aah
huyu boy nikiwa mdogo
nilikuwa naguzisha mamanzi wabiggy kwa party
tunanukia vyombo fresh
fresh kuoga na kipande kwani?
ye ako malotion marashi
ati mara anawasuka na kilami
yout alitokwa ah, naskia sai anak_mbaga aramis
hapa hauwezi ekwa, venye unakam ndo vyenye unaenda
ukimblein pia utachekwa, tukunyime fare urudi kalesser
unajiona magera na hata haujabeba
ati we ni kadera na haujui kuendesha aah

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...