kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - my woman lyrics

Loading...

you’re my beautiful woman, ju ya urembo wako nishakubali
don’t make it complicated
woman, nataka ni we wako nipe kibali
my woman
aah, ni vipi busha itakuaje babygal mi nikikuguza
ni siku mingi nikizipuuza, mahitaji mrembo shinda hivi hi disuza
kweli nimesota straight f_ck, sina hela
lakini ananiota sista cinderella
nitapeleka posa fasta, pima hema
na nikifanya makosa hate scar si mandela
rymino na unajua yet sjakubamba kama
romeo na juliet, sijajipanda kamba
ananfanya napona mtoto wa kigeti kali
nalia kama tono mekua vayoleti kwani
cheki hali, mami vile inatuzorotisha mambo gani
kwani hali kutukorofisha, choma ubani ndani ndio tuseti koro kisha
tumake love mbaka siku tutafollow issa
you’re my beautiful woman, ju ya urembo wako nishakubali
don’t make it complicated
woman, nataka niwe wako nipe kibali
yeah, sema yeng ndio utumeswaga mkini
sina budi when shaking hеr body akitwerk
ye humeesha adi magwiji
b00bs ni jigi, jelly b_ttocks yani ni fiеrce booty
it is besides belly b_tton, amepierce p_ssy
bonnie and clyde hawajaonja hizi stra za mapenzi
romeo and juliet ndio level wasee watatuenz’
ju tukiride bora boda unanislide mbaka che
msupa umeni el chapo na hizo vybez za kartel
sikukshow that mi nikifall ni ajali yako (aah)
unani nice ukikulia kila chali vako (aah)
usanif wako socialites lazima waitake it humble, vaileti hapa pendeki
ndio nikudishi ilibaki nikuingize box ka ile keki yako ya fedeli
shawry wa geti kali, mi namdate tu kispensi
nasweat ati shame, hatuna shida chuki ispread
daily mi nastrike, utamistake nikupet
after s_x nikuset, tunashinda tukiset
(dr munga, dr munga)
hi ma, usijali nimenyanya, macho chini ka za china
niko high mi ni rasta whatsup, uko fly we ni batman
mi sdai fructure na mabad man, what’s that?
ukiolewa niwe best man, ndio usiku npate pewa nikilewa tekwa
na huyo chali yako akate hewa waste ma
mara ya kwanza kustuka, umebeba maduba
kila shingo kupinda, ni ati mbaka una sura
kwa kujaze ukanuna, bizi blaze mastula
akaolewa maria, bass kwaheri my muna
unatesa, babu mtoi mbaka madha
anateta, how come stoki kwa hio meda
ati uko kesha, ama unamegwa
niko home leo baby don’t act a fool
kuja close nami mami kama mic kwa booth
sai unatake maboi teke kama usain na crew
ukiplace madem njeve degree kama minus two
we si mordinary ka, ma rowdy youths
kwenye toyota cruise, umenistand ka stage ma aah
venye umejaza ka steady yeah
you’re my beautiful woman, ju ya urembo wako nishakubali
don’t make it complicated
woman, nataka niwe wako nipe kibali
my woman, ju ya urembo wako nishakubali
don’t make it complicated
woman, nataka niwe wako nipe kibali

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...