kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - love song كلمات الأغنية

Loading...

wuu
yeah, yeah yeah!

[chorus]
ride expe ni ya mbaru
ju amejaza sana mariamu
venye amejaza nyuma ni kifaru
manzi yangu anaserve na anadu
mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
hashtag gain with gang rong rende
nina kijana huko chini anatafutwa na hessy
niliambia bro we ni sugu
with no fear uliwakulia majuu na ulihepa
get well soon shtepper mtu w_ngu kwani ziliraru
get well soon naskia ulikaangwa
ukiwa call ya mjuniour wa daycare

[hook]
ride expe ni ya mbaru
mariamu ni kifaru anaserve

[verse 1]
anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru
shash ni important
yut kiombizo manze ukimseti ni za ovyo
economy ya karao ni mahongo
learn k_mgei hizo mikosi zilet go
kuzidisha tenants ni waoga
so bunde nikizidisho
mi hudema nairobi kwa rentals
nilidhani ni mavlogger k_mbe ni patanisho
mdem alinireport kwa radio
rip guka ye ndo alikuwa na mabob ka wailers
bash alinibuyia rottweiler
rongboy na sikucheza, wong ni whichever
tuko broke bila cheddah hepa
hatari kwenye lango kama hatujaknock tuko wera
[verse 2]
nguna na si freelancer anachinjiwa hadi sri lanka
game za paka na panya hapana
kachumbari mi huengeza spice hata pastor
tulipatana na dem ameivisha ameshanyanya
machaji huku njei ni pastor ng’ang’a
ni juzi tu aliivishia mbang’a

[chorus]
ride expe ni ya mbaru
ju amejaza sana mariamu
venye amejaza nyuma ni kifaru
manzi yangu anaserve na anadu
mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
hashtag gain with gang rong rende
nina kijana huko chini anatafutwa na hessy
niliambia bro we ni sugu
with no fear uliwakulia majuu na ulihepa
get well soon shtepper mtu w_ngu kwani ziliraru
get well soon naskia ulikaangwa
ukiwa call ya mjuniour wa daycare

[hook]
ride expe ni ya mbaru
mariamu ni kifaru anaserve
[verse 3]
anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru
big up kwa wale watu wote wa mkono kuonyesha support
bicha mjamo si ilifanya hater jana akasag mdomo
kiuna anapreach hakuna ni venye tu ako na wafuasi stubborn
riot nairo nayo nayo, siwezi enda kwa kinanavio
huwezi niambia juu ya africanism na nyi wote mmebleach
waya si hukata hatutaki hatutaki kuwa associated na snitch
ukitaka kuloose your sanity marry huyo b_murder
drill huyo fala mwenye alikuja na dagger kwa vita ya upini
mtaa walishachoma picha
tena zile za muhadhara
naskia wakienda kudare abroad
na kina chamwada
mistake ya kwanza mbleina alifanya alikam kimala_mala
anakatia bibi ya badman na stra za kuomba namba

[chorus]
ride expe ni ya mbaru
ju amejaza sana mariamu
venye amejaza nyuma ni kifaru
manzi yangu anaserve na anadu
mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
hashtag gain with gang rong rende
nina kijana huko chini anatafutwa na hessy
niliambia bro we ni sugu
with no fear uliwakulia majuu na ulihepa
get well soon shtepper mtu w_ngu kwani ziliraru
get well soon naskia ulikaangwa
ukiwa call ya mjuniour wa daycare
[outro]
ride expe ni mbaru
mariamu ni kifaru anaserve
anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...