wakadinali - kumamaye كلمات الأغنية
[hook: domani]
shoutout my teammates, dj pass a blunt
hapa lazima ni_boss, k_mamaye!
ita waiter apige wera, chafua meza
mizinga ilipuke k_mamaye!
ju venye nai_set k_mamaye!
mangwai, mangem nayo nayo
slay amecheki 10 thao akastretch hapa lazima nigonge k_mamaye! we!
shoutout my teammates, dj pass a blunt
hapa lazima ni_boss, k_mamaye!
ita waiter apige wera, chafua meza
mizinga ilipuke k_mamaye!
ju venye nai_set k_mamaye!
mangwai, mangem nayo nayo
slay amecheki 10 thao akastretch hapa lazima nigonge k_mamaye!
[verse 1: scar]
shoutout my teammates, ni vipi jo?
came from thе east where we f_cking brokе
so we taking your sh_t while we ducking police
yeah, life_sh_t, the streets, ka ni brikicho
nikupinji wallenje, kakubebea m_baby and i don’t even know why you hit me, foe
nime_show up na rende ishameanga hata pembe
we f_ck up your show ka hulipi dooh
this ain’t no kapuka, that “tippy_toe” sh_t
sipendangi pupa, i keep it low key
up in the booth and i keep it up
nime_pull up na troop ka hulipi show fee
chang’aa kwa chupa ya malibu
msichana akijipa namharibu
mchana purura hadharani ndom
na sichapi riba ka si revenue
yeah, you never knew
mi nazoza na mi sina record, du
vuta boza nikasinya mamako, g
lakini holla huyo shawty si wako, zi
chapa inapona, naiwachanga properly
washajuanga rende ni rong
utashandangwa dede umong
mambang’a wanafanyanga niende nidoz
[hook: domani]
shoutout my teammates, dj pass a blunt
hapa lazima ni_boss, k_mamaye!
ita waiter apige wera, chafua meza
mizinga ilipuke k_mamaye!
ju venye nai_set k_mamaye!
mangwai, mangem nayo nayo
slay amecheki 10 thao akastretch hapa lazima nigonge k_mamaye! we!
shoutout my teammates, dj pass a blunt
hapa lazima ni_boss, k_mamaye!
ita waiter apige wera, chafua meza
mizinga ilipuke k_mamaye!
ju venye nai_set k_mamaye!
mangwai, mangem nayo nayo
slay amecheki 10 thao akastretch hapa lazima nigonge k_mamaye!
[verse 2: domani]
yeah yeah, yeah yeah…
g_ngb_nging hapa nairo
siku hizi bro, gang lane tu ndio mtaa
pulizwa fast kama meko na si ati naongelelea jiko la mkaa
si si karamojong, west pokot, no
ila tuko strapped bila cattle
utamadwa mara moja ukiwa headache
pepetwa pepe_pepepe!
sijali hata ukam na msee mercenary
style yangu ni same na tuseme machinery
i hope wako fresh, hawashindani
wa_show wako ocha, huko rural mashinani
daily nasaka maziwa though, na iko plenty kenya creameries
nitapata wapi manzi wa ndondo
i swear venye waupenda smell ya irori, manzi wa nairobi
ay, si ndio rong rende, boys notorious
walai tumekula kiapo mpaka sosa
uliza kiatu, ukitaka uliza sole
ni kukaza kunyi kama kamba, kaka don’t stop
tuko east bado na hatuteti
although hizi ni side watu wamekreki
and in case hujuangi uko ndani tunakurepel, street life ni magnetic
kuna madha alidungiangwa akadedi kwa mob
na pesa haikuw_ngi kwa kibeti, yeah
ulimi inateleza tu vi_fine, na_flow nikiwanyonyesha freestyle
nyi mambogi, mamizinga zinanuka na hapa ukacheza nitakuonyesha vita
paper_chasing hadi odhwash
after show tuliitiwa g4s
[hook: domani]
shoutout my teammates, dj pass a blunt
hapa lazima ni_boss, k_mamaye!
ita waiter apige wera, chafua meza
mizinga ilipuke k_mamaye!
ju venye nai_set k_mamaye!
mangwai, mangem nayo nayo
slay amecheki 10 thao akastretch hapa lazima nigonge k_mamaye! we!
shoutout my teammates, dj pass a blunt
hapa lazima ni_boss, k_mamaye!
ita waiter apige wera, chafua meza
mizinga ilipuke k_mamaye!
ju venye nai_set k_mamaye!
mangwai, mangem nayo nayo
slay amecheki 10 thao akastretch hapa lazima nigonge k_mamaye!
كلمات أغنية عشوائية
- rapture - whoo alright yeah كلمات الأغنية
- rare bird - devil's high concern كلمات الأغنية
- rare bird - somebody's watching كلمات الأغنية
- rare bird - sympathy كلمات الأغنية
- rare bird - title no. 1 again (birdman) كلمات الأغنية
- r a the rugged man - 50,000 heads كلمات الأغنية
- r a the rugged man - a star is born كلمات الأغنية
- r a the rugged man - american lowlife كلمات الأغنية
- r a the rugged man - brawl كلمات الأغنية
- r a the rugged man - break down the walls (chris jericho theme) كلمات الأغنية