kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - hallo كلمات الأغنية

Loading...

[intro: domani mkadinali]
yo
big beats afriq
oooh

[verse 1: domani mkadinali]
ati unanyesha
red carpet ka mjulubeng ndani ya senye inanyesha
huh, a_procreate zile vitu appropriate
developing your life, donating your heart
coz saizi cash that’s when she’s divorcing your ass
wan_z__mapi mpaka kwa ratili
penalty mpaka ma_hattrick freekick tun_z__kicking free
kila haloween, tun_z_ trick_or_treat
[bridge: domani mkadinali]
heh, mi si asidi waridi
husband yako amefariki, nimecome kukufariji
hio rambe ikuje hadi na ya mrambee
hio harambee ikuje hadi na ya mrambee

[chorus: domani mkadinali]
hmm aha, just kiss my ass
tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm aha, just kiss my ass
ati tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm aha, just kiss my ass
tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm huh, hmm, huh hallo
ati, wakiboronja hmm

[verse 2: scar mkadinali]
uh, yoh, stay busy
call up my brother like brief me
uh, these little youths can’t be free
nina cladi za jana but nikes mbichi
uh, thе best move is to listen
rollin’ my latе bro shoes when i miss him
kismat nataka ning’arishe, nimechoka kulipwa nataka niwalipe
nafanya ngoma nilishe family
i’m at the corner but i’m tryna live
mi na bro hatajubonga siku mingi hatujachomanga kiboza
but mwambie mahali yuko ka kuna noma he can halla me
i thought i told you, f_ck them rumors
they call me kovu, mountain mover
nilitokea na kinduku, walai inamuuma
na nikikuja huku, jo hakunanga huruma
yoh
[chorus: domani mkadinali]
hmm aha, just kiss my ass
tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm aha, just kiss my ass
ati tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm aha, just kiss my ass
tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm huh, hmm, huh hallo
ati

[verse 3: sewersydaa mkadinali]
unahepa umbwa unagongwa na gari
naitwa mtu wa jacko kubwa ukiniulizia mtaani
ngoma inakuvuta ka patrice lumumba kwa lami
nilichoma makena shakes hadi akaniachia ntalami
hauko na snippet, ye ndio alitoa ticket
akatuma huyo kike na ati alikuwa na mkide
hatuongenangi na vide, in fact, si huwasha mdihe
ka shorry ameiva, mkiche mkarange mpike
ronga waliniekea roadblock, nikapita watu wao
nikawashikia g_bag na four bob, ka bei ya viatu zao
mi hutoka job, narudi home tu hakuna mtu ako proud
nawasha ndom naficha mto na_hope for tomorrow
bei ya direction ni dust na jiji ni ng’at
una_buya na ati unajiitanga ras
ni ka ule tv kwa class kulikuwa na ngori mtaa
corpse flani iliingizwa kwa landcruiser ime_pack
i’m like
[chorus: domani mkadinali]
hmm aha, just kiss my ass
tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm aha, just kiss my ass
ati tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm aha, just kiss my ass
tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm huh, hmm, huh hallo
ati
hmm aha, just kiss my ass
tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm aha, just kiss my ass
ati tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm aha, just kiss my ass
tulienda wapi tuliwaconfuse basi
wakiboronja hmm huh, hmm, huh hallo
ati, wakiboronja hmm

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...