kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - hakuna ujanja كلمات الأغنية

Loading...

hapa hakuna ujanja ni unahema
ukicheki fiti time ni inaenda
nashangaa ni lini pesa itantembelea
naona dreams zenu skuhizi bado ni belair (belair)
toa mimba ulale ndani we nereah
karao dwanzi aki pull up we endelea
walidai tafta kazi kwanza usitafte manzi
tia bidii kidogo work, pray twende tena twende tena
hapa hakuna ujanja ni unahema
ukicheki fity time ni inaenda
nashangaa ni lini pesa itantembelea
naona dreams zenu skuhizi bado ni belair (belair)
toa mimba ulale ndani we nerеah
karao dwanzi aki pull up we endelеa
walidai tafta kazi kwanza usitafte manzi
work, pray, tia bidii kidogo twende tena twende tena
twende tena, twende tena, twende tena twende tena
styles mob adi your crew inaniborrow
seti ndom tun_z_funga macollo
stepping outta rong si huwachukua nifollow
iko nini pesa ikuom si najikuna mikonos
ha_hakuna smile so najifunza misoro
it′s been crazy for a while so najituma me solo
tumejiami na ma g3 na vifaru wakiletanga mafitina maquarrel
mi ni ras bia rasta, plus sina wass fam
works kila saa so si must niwe maskan
ukirap fans sifu ngoma is western
na mi kila line punch huchoma high we scan
hehe, nina crew yote hapa
nakukosea then nakugotea after
nikupe verse ndio nikuchoche faster
ulipe first ndio upate verse fam
hapa hakuna ujanja ni unahema
ukicheki fity time inaenda
nashangaa ni lini pesa itantembelea
naona dreams zenu skuhizi bado ni belair (belair)
toa mimba ulale ndani we nereah
karao dwanzi aki pull up we endelea
walidai tafta kazi kwanza usitafte manzi
tia bidii kidogo work, pray, twende tena twende tena
hapa hakuna ujanja ni unahema
ukicheki fity time inaenda
nashangaa ni lini pesa itantembelea
naona dreams zenu skuhizi bado ni belair (belair)
toa mimba ulale ndani we nereah
karao dwanzi aki pull up we endelea
walidai tafta kazi kwanza usitafte manzi
work, pray, tia bidii kidogo twende tena twende tena
twende tena, twende tena, twende tena twende tena
flow ya kwanza kujipurura
washa gunga tupate nyakis zinaturunda
mi slims ka kina munga, hiki kidunda
rossi kudeliver raps na ujuzi wa mkunga
mi mk_n_li chunga, sa mdomo funga
za skvoch dunga, kunitoa zone
ebu come nje achore unga
yea, i like challenges handicapped
si distorias we will warrior
nilimpe mic mnishike dorian kuspeech ikoria
unadai tu docoz mna defloz ka drocon
destorn like a torn mc mchele mi msee wako naitwa dotcon
we ni bekwani trustee but iphone
kwa mtono ongeza rayfone, kwa usingizi wa pono
nawatake on, nawasiaga bones naandika message adi luthon
black ass aketol, say it all now we done
yeah oh watafiti, sikuhizi ni kutricky
nikipata hata sixty najua ntadishi fiti
ukihepeshwa otc tuwa haile selassie avenue kivumbi
adi ongata line, so ni huepe tu njia mat za rongai
i’ve been smoking shashamane
addis ababa when am visiting my emperor
na siko ndethe munga, deyo ni lugha ya marasta man
mahater hawatapenda mstudent akigeuka mentor
saizo wengi wao biashara ya hi mstiri nimewanature
na bado niko mbele bila k_mate mameeting na malecture
ile deal sai vipi joh? sikuhizi mna usoro man
in short mnatusorora, ana niju hizi sides tuna vitu chafu
zinakua avoided na machokora
misukosuko balaa, vituko kibao
viviletuko tu wakadinali tuko involved vitu popular
nikikushika tu ndio venye rizler nicut only flop
ju mtu k_munder arrest, hauskii hizo ni policy cops
on your toes, kwanza tippy toe, chezanga brikicho
k_mada joh nimeifanya seriously as a boy 14years ago
hapa hakuna ujanja ni unahema
ukicheki fity time ni inaenda
nashangaa ni lini pesa itantembelea
naona dreams zenu skuhizi bado ni belair (belair)
toa mimba ulale ndani we nereah
karao dwanzi aki pull up we endelea
walidai tafta kazi kwanza usitafte manzi
tia bidii kidogo work, pray twende tena twende tena
hapa hakuna ujanja ni unahema
ukicheki fity time ni inaenda
nashangaa ni lini pesa itantembelea
naona dreams zenu skuhizi bado ni belair (belair)
toa mimba ulale ndani we nereah
karao dwanzi aki pull up we endelea
walidai tafta kazi kwanza usitafte manzi
work, pray tia bidii kidogo twende tena twende tena
twende tena, twende tena, twende tena twende tena
pata lawsuit after kudrive under influence ya lawson
huyo kidosho, ye huingia na mbosho
anajua orosho, so mtu w_ngu caution
usichome picha na umeivia politician
tukiana bicham licha kata na kichwa
slice hio turkey si tunafwata ritual
ya kugive thanks tumecover distance
ipake rangi alafu finya restart
kiproperly alic_ckia colleague road
mbaka cops waka come inform of squads
ule aki crawl wengine waclimb up hio wall
alafu waicheze tu ki westgate mall
niko sticky na hao marapper style ya marwa
major kirider umeskia bablas
wyclef johnnes si akuje dabab
alafu deadan kimathi high akitajwa
hapa hakuna ujanja ni unahema
ukicheki fity time ni inaenda
nashangaa ni lini pesa itantembelea
naona dreams zenu skuhizi bado ni belair (belair)
toa mimba ulale ndani we nereah
karao dwanzi aki pull up we endelea
walidai tafta kazi kwanza usitafte manzi
tia bidii kidogo work, pray twende tena twende tena
hapa hakuna ujanja ni unahema
ukicheki fity time ni inaenda
nashangaa ni lini pesa itantembelea
naona dreams zenu skuhizi bado ni belair (belair)
toa mimba ulale ndani we nereah
karao dwanzi aki pull up we endelea
walidai tafta kazi kwanza usitafte manzi
work, pray tia bidii kidogo twende tena twende tena
twende tena, twende tena, twende tena twende tena

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...