kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - eye contact كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
yoh yo yoh man a driller
shout out to drillers
nairobi, nairobi, nairobi to the world
driller!

[verse:1]
keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
k!ll na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

[chorus]
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke

[verse:2]
si ndo wale watoto wakorofi
the loudest kwa ploti
kijana wa landloardi
hauskiii ndo anaanulianga wapangaji sony
niko na 3 day notice
ati mi ndo huwa nimejaza motive
caretaker pigwa kofi
nikuone kw_ngu bila kubisha hodi
driller mpaka kwa ngozi
looters kushinda wajozi
ringa tu kuingia roadi
hatulali aluta ka sogi
utatokwa machozi
tukiishia upate hauna kitu kwa pori
sho madjozi sina doh
akipitia home aachane na john (achana na yeye)
gava inataka ati kunicross
ju ati yesu hajaisupport ndom
neiba hadi ati anareport
hajui kenya ni a corruption zone
wiseman kama solomon
mambo ya moyo jo si hatuforce
rightman nimeiacha home
ju ni mzito ebu nipige phone
[pre_chorus]
keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
k!ll na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

[chorus]
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
sure bet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
sure bet hizi street must mi nichangamke

[verse:3]
mshow una bilaha ni kuhire silaha
ndo stakabadhi na require
steps zangu za ki giant
watu nilihelp ndo w_n_leta difiance
money maker bila hata advisors
nashangaa wanabonga nini backbiters
we ni hater ndo maana huko required
wamama wamepump ass na ma diapers
ati wako wapi? where?
wanabonga nini? who?
ati wako?… na kininini.. what?
i play blind nawakisha fiti bila njiso
fanya vilivyo life pia ni seasaw
huh! mrembo napenda ni kifo
kifo kifo
wuzu mi ni nani? mkora
tuko gang na mwanamke nahurumia mtu wake
kwa hivyo kina nani mali zao si huwapora
bet hizi streets lazma mi nichangamke
[chorus]
keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
k!ll na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

[chorus]
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke

[verse:4]
yoh in the city i step like that
mountain mover inna flesh and blood
ah mandem we blessed and bad
waulize niwakanje ni pesa ngapi
don’t say non don’t fck with popos
boomplay money we invest in gang
ambia hao mafan mi sipendi mamboto
unaeza kula phone na siwezi burn
ala! ukiniona unastammer
ulidhani scar k_mbe ni scammer
bado umejam na ngori ni ya jana
usikuje ka hujajipanga
pigwa ngeta ganji uwapone
ndio hako ka hater wapi kwa comments
siku hizi si ni rahisi wabonge
but tukimeet we ni maiti i promise
we don’t f_ck with the pagans mmh mmmh
ni heri we say non
whenever they pay us, me and my peers
we sharing anjera
kwa show leta hennessy vela
na big booty girl inna dera
word_word to my parents
mandela they are jealous
[pre_chorus]
keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
k!ll na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

[chorus]
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke

[pre_chorus]
keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
k!ll na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

[chorus]
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke
kwa bedsheet na achangamke
surebet hizi street must mi nichangamke

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...