wakadinali - chunga كلمات الأغنية
[intro]
big beats afriq
[chorus: domani munga]
early in the morning nko maperas (ching’ ching’)
chunga, njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga
shang’ ndeng’a, skeng’a
ukijileta, sitakupenda
niko maprama, whatever niko ma gucci, prada
rada negro?
niko zozote utateveva
early in the morning nko maperas, chunga
njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga

[verse 1: sewersydaa]
ifikie huyo mrazi huku mtaani k_me—
chrome sana ka paipu ukihata matope una kanyanga mafi, yo
hakunanga cha breki, nikipita na hio mbathi (mmh, hmm)
one forty km, drill, hamnipati
njueng’a before itoke, nyi hubonga shonde
rengwa before nitoke, before nichoche mi hurudi stone age
hii ni ya mafans only, na my f_ck b_tches msikonde
hapana smile smile shawry, hio molly inaeza fanya nikuokote
good friday ilikuwa best adi monday tukashindwa ku resurrect
cool daddy me hufunga belt
andele andele hapa hakuna ku rest
mapema ndio best
maperas alafu inafika saa k_mi na set
masela ush_geuka kwela?
unapenda k_mblein
unaanza kunisuka na hujui kwa bed vile mi hudunga
chewed her ni kama mi ni mbuzi
b_tch aliitisha akapata akashtuka
sheng’ shengili, shembeteng’ lingua, zote ni lugha
from ten, saa mbili, tisa, tasa unashinda ukisema unakuja
[chorus: domani munga]
early in the morning nko maperas (ching’ ching’)
chunga, njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga
shang’ ndeng’a, skeng’a
ukijileta, sitakupenda
niko maprama, whatever niko ma gucci, prada
rada negro?
niko zozote utateveva
early in the morning nko maperas, chunga
njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga
shang’ ndeng’a, skeng’a
ukijileta, sitakupenda
[verse 2: scar mkadinali]
dunga kwa face, neck, breast, legs, chest, chest, chest
mnjoro ni ya beshte_nge, mi hutumia, pencil
wabebe wabe_be, whip ina bounce ka bat check
yes, matembe matembe, ketepe inaitishanga, reggae
yo, washa ki bob marley, anaitaka, raw ndani
siku izi ni funny, kila mtu hunipenda nashindwa nita rob nani
niliona maajabu siku nilikuja kurukwa na mon army
alikuwa bazu, saa hii zuba yo! what happened?
hatuko category same
sina nguvu ya kunego mabei
natumia pesa ndio isinitumie, haunipati kwa simu, nitext
hii ni kapenguria three, hatulali n’kitumia wadhi
zii, hii ni kapenguria three hatulali n’kitumia wadhi
ukiona rende unakua mless
utakatwa makende ucross dress
and we at your door step
roll with the n_ggas that talk less
peng ni rapper ametokea juzi anataka collabo, i want s_x
preacher anasema niko possesed
mambang’a wanasema ni gode
[chorus: domani munga]
early in the morning nko maperas (ching’ ching’)
chunga, njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga
shang’ ndeng’a, skeng’a
ukijileta, sitakupenda
niko maprama, whatever niko ma gucci, prada
rada negro?
niko zozote utateveva
early in the morning nko maperas, chunga
njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga
shang’ ndeng’a, skeng’a
ukijileta, sitakupenda
niko maprama, whatever niko ma gucci, prada
rada negro?
niko zozote utateveva
early in the morning nko maperas, chunga
njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga
[verse 3: domani munga]
big up my team
big up un mi self jeshi ya rhyme gym
tuliwasosi, walikulwa, kwanza walikuwa wameenda gym
kama ni [?] confuse confidence na impunity
njueng’a baruti, i’m the bomb, siezi pitia through security
bado hujanikanja, why?
manze umedunga, ushakuwa fine wine
mapema ndio best, but ikifika kulipa deni, that’s where you draw the line
maza, maza, mr. miyagi, munga ni master
adam show eve “nyamaza” niaje snake ikaleta eden hazard?
inanibamba, niko shughuli mjini
unadai kuilamba? na vile hii mwiko imepitia sufuria mingi
huradi [?] ya kwanza
ilikuwa tukiishi gaza, na ilikuwa pesa ya mzazi
hio sasa, hio ndio place fulani i was circumcised in
[chorus: domani munga]
early in the morning nko maperas (ching’ ching’)
chunga, njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga
shang’ ndeng’a, skeng’a
ukijileta, sitakupenda
niko maprama, whatever niko ma gucci, prada
rada negro?
niko zozote utateveva
early in the morning nko maperas, chunga
njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga
shang’ ndeng’a, skeng’a
ukijileta, sitakupenda
niko maprama, whatever niko ma gucci, prada
rada negro?
niko zozote utateveva
early in the morning nko maperas, chunga
njuang’ yangu kamagera vile ina, dunga dunga
كلمات أغنية عشوائية
- ana castela - juliet e chapelão (bota, bota) (part. dj chris no beat e luan pereira) كلمات الأغنية
- farai - cheque كلمات الأغنية
- shordie shordie - leave كلمات الأغنية
- fally ipupa - chérie coco كلمات الأغنية
- cherrie - i do كلمات الأغنية
- alaska sargent - run away (you're to blame) كلمات الأغنية
- kibbykhi - lejos de aquí كلمات الأغنية
- zivert - ветер перемен (wind of change) كلمات الأغنية
- ale’s music & axel - puto día trabajando كلمات الأغنية
- jon spirt - love me كلمات الأغنية