kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - chachisha lyrics

Loading...

si unajua kuenda class ni risky
especially kama umechapanga glass ya whiskey
jicho nyanya nina drugs kwa system
na vitu napendanga ni mabras na g string
wanacompare abash nyashinski
ati wako na containers za mabars na siskii
chavu buda dunga gloves in this sh_t
navovuta gunga tobacco ka ras wa eastleigh
rough ragged and raw, kaf nare na draw
slap bare kwa choo, jisearch ngware kwa floor
rastaman sibagui wana juju ka mafans wa
w_lly paul, sutambui bahati aah
thika thika chachisha mbaka hapa east
navyoshika liquor wika bambika chapa kwa feast
mashawrie, matire mamori kinare
mapilsner, mab_tch na marizler na risper
na scene ya kanisha, scene ya kusinzia kanisa
scene za kuchinjia kwa nissan
chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa
chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa
party in the 254, the party that don’t stop
so party cannot stop, shouldn’t make your
ass drop, taunt up crazy na vitu nimepop
sai nadai more tei, more vela more gock
si popingi pedos
nabuyia dem chipo, alafu namchipo gallitos
akianza ufala cheza chini napokua lidos
flow ni sick so mtaseek help, ongeza
mambitho
six hundred bands nikipull up kwa show
nadondoka mraia ka six soo
pewa kenye unapewa mikono in the air
nyemelea dem unaware, shash tuki enshuffle ikikaa kwa underwear
nadai kukata maji design nimecome na kisu kwa bar
case constant ka fisi ina njaa
step up in the club nacheki poster imeandikwa, ” no chewing miraa”
basi ntachew blackout
i came to pull my straps out
mashawrie, matire mamori kinare
mapilsner, mab_tch na marizler na risper
na scene ya kanisha, scene ya kusinzia kanisa, scene za kuchinjia kwa nissan
chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa
chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa
huw_nga venyenge najulikana mi ni
mbadder mbaka mungu amenigeba tu vihana
kilichangatupa vungu kenegia bugilala dilu
hamaseka njugu vide ju jaba mi huchana
few of the load huonekana before
upatwe, ukipatwa uhaifanya default
hau devote
let us be honest kitabu kujudge na cover ni time waste
naweza recover adi time waste
time is not on my side, move a fifty watches
breathing side haijui kuw_nga na greedy
coaches
mkihide itabidi niwakishe hizi torches
uko wapi godd_mnit you critic conscience
shika tei yangu slowly ka si jaba kwa lips
zishike design ya makasi na nasi
tunaweza ikata ka idare ya jiz
tu combine ni ka kuuza makaa supermarket
world rapper shikisha majani kizani
industry tukiachia madummy ni epidemic
umizwa adi ndani, tuliza kilami
aim to the sky na colonize planets
chachisha, chachisha kabisa
fb mbaka twitter ukinifata utapata nikichoma kinduku kwa picha
ni marasta mavipara, kuna kinduku kwa kichwa
nina rai ishara, nishanga mi jisteam tu ka shisha
ka we ni sugu chachisha
mashawrie, matire mamori kinare
mapilsner, mab_tch na marizler na risper
na scene ya kanisha, scene ya kusinzia kanisa, scene za kuchinjia kwa nissan
chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa
chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa
mashawrie, matire mamori kinare
mapilsner, mab_tch na marizler na risper
na scene ya kanisha, scene ya kusinzia kanisa, scene za kuchinjia kwa nissan
chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa
chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa
big beats beats beats afriq

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...