kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wahu - nifanane nawe كلمات الأغنية

Loading...

sishangai ulimwengu kupa sifa jehovah eeh
muumba wa vyote kwetu
una manufaa zaidi baba aah
unawaponya wagonjwa na wenye vifafa
vipofu na vilema
hata niwe na shida zenye utatata
miujiza unatenda
wacha nikuiite yahweh
mfalme wa wafalme
hakuna kama wewe uhimidiwe bwana
oh moyo yahweh ninataka nifanane nawe
wema wako ninataka nifanane nawe
oh yahweh ninataka nifanane nawe

wengine wanashindwa vumilia kwako
wanaenda kuchawiya kipato
hawajui fahari ni wewe utajiri wako wa milele
mbinguni na duniani oh baba
unawaponya wagonjwa na wenye vifafa
vipofu na vilema
hata niwe na shida zenye utatata
miujiza unatenda
wacha nikuiite yahweh
mfalme wa wafalme
hakuna kama wewe uhimidiwe bwana
oh moyo yahweh ninataka nifanane nawe
wema wako ninataka nifanane nawe
oh yahweh ninataka nifanane nawe
i want to be just like you ninataka nifanane nawe
to be like you ninataka nifanane
oh yahweh ninataka nifanane

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...