wachuja nafaka - mzee wa busara كلمات الأغنية
[juma nature:] mzee wa busara…sara…aa..aaah
[kr mullah:] mzee wa busara noma toka anasoma…
[verse 1: kr mullah]
alishawahi kuf_kuzwa shule ya msingi’ kigoma
tabia akaiendekeza, akapata kazi’ kacheza
ni mzee wa maskani, ‘nyumbani, jirani
mchana haonekani
usiku doh! hii soo
huyu mzee ukimwamkia’ wala hata haitikii; anajikausha kausha utasema wala hata hasikii
mf_ko wa rambo ‘ukituna
huyu mzee ana_mind
anachokitaka huyu mzee wala hata hakieleweki
ili mradi atu “lost” ishe, tuabike, yaani hata hela; tusi shike!
na ukipita karibu yake’ nywele zinakusisimka
na ukijipindua tu mwanangu usiku’ kaibuka
wa busara
wa busara
mzee wa busara oh!
kwa kusafiri safiri na ungo mpaka ubungo
malalamiko kibao shemeji hata halali
kila akilewa yeye [?] , skia kabala
humwamini mzee wa busara we?
humwamini mzee wa busara we?
sijui anaingia ingia vipi ndani, wakati milango imefungwa
au tuamini kulala na mifupa ya nguruwe; na ganja
ili tuokoke maisha haya
wee mzee wa busara
mbona unatutaka ubaya?
[chorus: juma nature]
mzee wa busara’ vishawishi vimemponza mpaka kafanya msala
mzee wa busara’ ni mzee ambae tunaishi nae kwenye nyumba za kupanga
mzee wa busara’ vishawishi vimemponza mpaka kafanya msala
mzee wa busara’
na tena majirani wanahisi huyu bwana mw_nga…
mzee wa busara’
[verse 2: juma nature]
malaria inaanza’ wee…,inapungua
inaanza’ wee…,inapungua
huyu busara’ mtu wa sala, saa 24 anafunga sala
akitenda kosa, ukimsema tu’ anaanza kuzusha msala
atanuna hapo, atazira hapo; mjomba kazi unayo
sa ni msisitizo mw_nga kasha [?] kisago
tuone je kama tukimpa mvua atatukaanga
king’wendu _n_lalamika eti tumbo lina muuma
hata ule mchеzo wake amepunguza kucheza
“king’wе_king’we,king’wendu lile!”
chakula cha mw_nga usile
mtoto wa mtaa wa 3 amerogwa’ rangi tatu
mchana alikuwa mzima, naskia akageuka chatu {imitating a cobra spitting}
haya sasa’ nini? ugomvi huo
mtoto wake busara kila siku anakula kwetu
tukishaanza kula’ wa kwanza kupakua nyama
ukimkataza…”mamaa!”…anaenda kusema
kivumbi sasa usiku
na huu ni mwaka wa sita’ mama _n_lalamika mguu
tumehangaika kwa madokta wee… ikashindikana
tukaangaika kwa mganga wee… ikashindikana
sasa sijui twende tukaseme kwa fred tibaigana
au tuendelee kukaa’ tumuuguze mama
hapana’ inauma uchungu
umlogee mtoto wa mtu kisa [?]
majani kasema adhabu hakuna zaidi ya marungu
na tukiona tumeshindwa tu’ tunamwachilia mungu
lakini jana usiku tu’ tulichanjwa chale sita
tukaanza kujiuliza humu ndani nani kapita?
madirisha yalikuwa yamefungwa
rashidi mlango kafunga
sasa amepita pitaje?
kwenye kuta au kwenye nyufa?
[chorus; repeat]
كلمات أغنية عشوائية
- machine gun fellatio - coon hunt كلمات الأغنية
- machine gun fellatio - free & easy كلمات الأغنية
- machine gun fellatio - full moon كلمات الأغنية
- machine gun fellatio - gun to you head كلمات الأغنية
- machine gun fellatio - i dance electric كلمات الأغنية
- machine gun fellatio - i wanna start the third world war (mystery track) كلمات الأغنية
- machine gun fellatio - just b'coz كلمات الأغنية
- machine gun fellatio - isaac or fuzz كلمات الأغنية
- machine gun fellatio - leopards كلمات الأغنية
- machine gun fellatio - llamas vs big ears كلمات الأغنية