
wachuja nafaka - ladhia كلمات الأغنية
[chorus:]
ladhia w_ngu wewe’ number one nakupenda sana’ si utani
usiskie nge’ndembwe za jirani
maana wao wana chuki asilani
ladhia w_ngu wewe’ number one nakupenda sana’ si utani usiskie nge’ndembwe za jirani
maana wao wana chuki asilani
{verse 1:}
leo ikishakuwa hivi’ na kesho ijayo vipi?
sijui nikufanyie nini’ uniamini utwae nami
toa shaka unaleta furaha ambayo mi napenda mama
ladhia’ malkia’ moyo w_ngu umekuangukia
siku izi anaekwambia, anaekuk’akishia, anae kuthibitishia
siwezi kubadili wazo’ nafasi yako ipo na bado,na bado
pozi, dharau’ tuweke kando
barafu halijengi jumba, ukweli nakupa
chum…chum…
mpaka pale kwenye kunoga
na mboga bila kitunguu’ haijanoga
[chorus:]
ladhia w_ngu wewe’ number one nakupеnda sana’ si utani usiskie nge’ndembwе za jirani
maana wao wana chuki asilani
ladhia w_ngu wewe’ number one nakupenda sana’ si utani usiskie nge’ndembwe za jirani
maana wao wana chuki asilani
[verse 2:]
nakujali kwa dhati,sio kwa nyakati
mida mida mi’ baya jana usiku’ shangaa
nafanya “sharp sharp” sioni freshi kuzu’ ba
mademu w_ngu wengi’ kila kona wamejaa
lakini naona sio mental mimi kuwa far
ndo maana nimeona freshi nikupe dukuduku
maneno hayana chuki,jealous wala sijishuku
kuniomba omba vihela, lakini we maruf_ku!
kupenda sijui kutangaza hadharani’ ili nimpe faida nani?
hii ina maana gani? kusema unanipenda ndivyo ilivyo’ au una nichenga?
ntajinyonga kwa uzi, big g, hata kwa udenda
ntapogundua kuwa chuchu umenitenga
tv ya body (?) ‘ naona chenga
mapenzi sio fedha, wala k_mla pweza
na wala haina haja hivi vitu kuvigeza
ni kipi kinachokufanya wewe unageza?
mapenzi’ kubembelezana, kusamehana
tunasuluhisha, yanaisha
na mdaa wa kutoa muafaka
tunafunga pingu ya maisha
nikipi kinacho tatiza?
nafsi yako kw_ngu imefika na imezaa
unachotaka’ hata mie ntatimiza
nakaa “worker” jua mchana’ kisiingie giza
[chorus:]
ladhia w_ngu wewe’ number one nakupenda sana’ si utani usiskie nge’ndembwe za jirani
maana wao wana chuki asilani
ladhia w_ngu wewe’ number one nakupenda sana’ si utani usiskie nge’ndembwe za jirani
maana wao wana chuki asilani
( ladhia w_ngu wewe’ number one …
usiskie nge’ndembwe za jirani… )
( ladhia w_ngu wewe’ number one…
usiskie nge’ndembwe za jirani…
maana wao wana chuki asilani…)
ladhia w_ngu wewe’ number one nakupenda sana’ si utani usiskie nge’ndembwe za jirani
maana wao wana chuki asilani
ladhia w_ngu wewe’ number one nakupenda sana’ si utani usiskie nge’ndembwe za jirani
maana wao wana chuki asilani
(instrumental)
writer(s): juma nature, kr mulla ,dollo
كلمات أغنية عشوائية
- the dreadnoughts - grace o'malley كلمات الأغنية
- os monarcas - procedência كلمات الأغنية
- conexão do gueto - cdg 100 dó 100 pena كلمات الأغنية
- os cariocas - garota coquete كلمات الأغنية
- chris brown - my last (with big sean) كلمات الأغنية
- elizabeth gillies - one and only كلمات الأغنية
- hannah montana - i'll always remember you كلمات الأغنية
- tomate - te espero no farol كلمات الأغنية
- intervals - ephemeral كلمات الأغنية
- marcelo oliveira - gauchada كلمات الأغنية