kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

volvoh - salama كلمات أغنية

Loading...

volvoh for jc…..
kreptonate production…

niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee

hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali, kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee

niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee

wengine wakichiti
kwako niko fiti
nikusifu na mziki, nisijali za makiki
hata mziki uje uhiti
na kibiri kisizidi
nik_mbushe zangu dhiki
kwako nisipotee
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee

niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...