kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

volvoh - deka كلمات أغنية

Loading...

kevoh ally made it….

wanataka nikukane, nseme wewe haupo
tena bila samahani, n_z_disha matuko
kukusifu ndio kazi tena mpaka mauko
wanataka nikukane, nseme wewe haupo
tena bila samahani, n_z_disha matuko
kukusifu ndio kazi tena mpaka mauko
ila siwezi kukukana no! no! no!
yale umetenda ni more
siwezi kukukana no! no! no!
kw_ngu umetenda more more
siwe kukana no! no! no!
yale umetenda ni more
siwezi kukukana no! no! no!
no! no! … no! no!

kwamaana hii kwako nadeka
upendo wako umedhihirika
mi na see unavyotenda
yakw_ngu yote kwako na surrender
kwamaana hii kwako nadeka
upendo wako umedhihirika
mi na see unavyotеnda
yakw_ngu yote kwako na surrender
hali ya dunia isifanyе mi nikukane na
marafiki wasifanye mi nikukane
penzi lako nakinai, kwako nina imani
tena nitajidai, nkisema wewe ni dadi
penzi lako nakinai, kwako nina imani
tena nitajidai, nkisema wewe ni dadi
ila siwezi kukukana no! no! no!
yale umetenda ni more
siwezi kukukana no! no! no!
kw_ngu umetenda more more
isiwe kukana no! no! no!
yale umetenda ni more
siwezi kukukana no! no! no!
no! no! … no! no!

kwamaana hii kwako nadeka
upendo wako umedhihirika
mi na see unavyotenda
yakw_ngu yote kwako na surrender
kwamaana hii kwako nadeka
upendo wako umedhihirika
mi na see unavyotenda
yakw_ngu yote kwako na surrender

penzi lako nakinai, kwako nina imani
tena nitajidai, nkisema wewe ni dadi
penzi lako nakinai, kwako nina imani
tena nitajidai, nkisema wewe ni dadi
kwamaana hii kwako nadeka
upendo wako umedhihirika
mi na see unavyotenda
yakw_ngu yote kwako na surrender
kwamaana hii kwako nadeka
upendo wako umedhihirika
mi na see unavyotenda
yakw_ngu yote kwako na surrender

lifetime music…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...