kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

vivian kenya - secret lover كلمات الأغنية

Loading...

vivian ana crush na wewe
vivian ana crush na wewe
vivian ana crush na wewe
vivian ana crush na wewe
niite jicho nyanya baby
vile mi hukutazama baby
niite jicho nyanya baby eeh
(mavo on the beat)
kuna vile mi hukudai
sijui kama nitakuwahi wee
sijui utasemaje
naogopa utanilenga

kuna vile mi hukupenda
mi hukutaka ee
kuna vile mi huk_mezea mate
nikiwish nikupate
am your secret lover
am your secret crusher
am your secret lover
am your secret crusher
niite jicho nyanya baby
vile mi hukutazama baby
niite jicho nyanya baby
vile mi hukutazama baby
call me your secret lover
am your secret crusher
am your secret lover
am your secret crusher
am your secret lover
am your secret crusher
[mejja]
nilikuona ukisha vyombo
kwanza ka umejifunga leso
huwa inachora figa yako
mpaka nikatamani niwe chali yako
nilikuona ukikula chips mwitu
nikajua we ni mtu wa watu
anajua mi ni rafiki
lakini chini ya maji mi hukuwa nimemnoki
ye hunipatia shida ya chali yake
nampea advice nikiwish waachane
haha we huumiza moyo w_ngu
ukiambia beste zako goteeni beste yangu
niite jicho nyanya baby
vile mi hukutazama baby
niite jicho nyanya baby
vile mi hukutazama baby
call me your secret lover
am your secret crusher
am your secret lover
am your secret crusher
[madtraxx]
h_llo h_llo hey beautiful
i think there is something that you should know
i know your bro he is my boy sana
na nikimwambia najua tutakosana
pale shughli mara ya kwanza nilikuonaga
bro aliniambia maddy usicross hapa
mi huw_nga bad boy nikiwa na crew
lakini mi ni msofti when it comes to you
mama fua nilimpea chocolate na cuddies
i hope ulizipata ukishangaa ni nani
next time ukipitia baby cheza chini
nitakohoa mara mbili ndo ujue ni mimi
niite jicho nyanya baby
vile mi hukutazama baby
niite jicho nyanya baby
vile mi hukutazama baby
call me your secret lover
am your secret crusher
am your secret lover
am your secret crusher
am your secret lover
am your secret crusher
vivian ana crush na wewe
vivian ana crush na wewe
vivian ana crush na wewe
vivian ana crush na wewe

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...