viva conscious - punch vocal كلمات الأغنية
verse 1 : viva conscious
kaeni tayari huu ni ujio wa masiha
pata somo heshimu wazo ili hali una nia
mi mi jicho la mtaa nijeshimu upone
kaza ukaze sio kamikaze mpaka mwisho wa tone
nasuk-ma imara feki zinamomonyoka
nyoka shuti kunja sura or pindi ukimoka
snitch akishoboka nampa ficho kwenye locka
we ni swala mi ni simba naekimbia bila kuchoka
tata utata nenda slow niende fasta
mi ni hazina ya mistari ongeza salio hapa
nishatuna ninavuma bila rumors
natafuna kila zao imara lililovunwa
na skio bovu lina zoom hadi maovu
kuntu chafu zinawavuta mithili ya gari bovu
hii ina laana ,push ikupe lawama
nang’aza visivyong’aa dream fake za alabama
chorus x 2
wowow owowo wowowoo woyooooo
wowow owoowo wwowowo woyoooo
get ready aaah get ready for the show
get ready aaah get ready for the show
verse 2 : viva conscious
midondoko moinoko inasusa mpaka voko
soko ni moko rap imejaa migoko
sugua bench piga zoezi moaka mechi
pata imani pale kipofu anapokupa checnhi
nesa kavu nesa above kama reggae
hutonisusa mi ni zao we kinywaji kama mbege
usimwite demu mlupo huyo ni mke mwema
hata mkwe husema acha a sepetu kwa wema
hili ni duru namulika hadi dubai
muhtasari wa kifo let me teach you how to die
hii ni 4d kwenye real sh-t track
mtz mweusi tii kama brother big mack
i gat 16 bars 16 codes
viva with the best ryhmes they make me so
double thinker i gat the beat with verse
around black nver relax will be the murdre case
cerka ya cerason money i want buskar
la cale” mi gustas el vender chingar
no gambero no cadacosa del mundo mirarr
la cudad no bien mirar putas no tucar el riar
chorus x 2
chorus x 2
wowow owowo wowowoo woyooooo
wowow owoowo wwowowo woyoooo
get ready aaah get ready for the show
get ready aaah get ready for the show
verse 3 : tash
vule vuvu zhe afe mwaaa
viva tash msoto ndio tuna wapa
msosi mpaka kideri punch inakabwa
chuga bway rude bway soma muswada
haina lolo comedy ipo onyango
muswada kede kede hio mipunga haina mpango
iko straight from the ghetto
kwa snitch hii ni kero
sidai tukulu sidai sema yerooo
one two thats true murder dem full
naikonga hio mioyo kama navyokonga na stay true
hapo kati nyonga tukuite aisha madinda
zingua upigwe danga huku chimbo wana wamepinda
they way i go feel the way i flow
hii ni nundu hadharani utakuta we bishoo
they way i go feel the way i flow
hii ni nundu hadharani utakuta we bishoo
outro
wwwwwat mesen , viva conscious ,its yo boy tash tash bablenye up in this
tz , de fatality you better …………shout up your ……………you heard
كلمات أغنية عشوائية
- ill nia%c2%b1o - letting go كلمات الأغنية
- ill nia%c2%b1o - in this moment كلمات الأغنية
- ill nia%c2%b1o - lifeless...life... كلمات الأغنية
- blue - move on كلمات الأغنية
- blue - quand le rideau tombe (curtain falls in french) كلمات الأغنية
- ill nia%c2%b1o - liar كلمات الأغنية
- ill nia%c2%b1o - make me feel كلمات الأغنية
- blue - signed, sealed, delivered i'm yours - blue featuring stevie كلمات الأغنية
- ill nia%c2%b1o - part of the signs كلمات الأغنية
- ill nia%c2%b1o - nothing's clear كلمات الأغنية