
vijana wenye nguvu - nimebadilishwa كلمات أغنية
nimebadilishwa lyrics
verse #1
nilipokuwa chini, yeye kaniinuwa. wakati w_ngu wa shida kanifariji
( marvelous love )
upendo waku shangaza
( marvelous love)
hmmm…
ninaishi kwa neema yake mungu
ninaishi kwa neema
ninaishi kwa neema aah…
kwa neema, kwa neema
chorus:
kwa neema tumeokolewa, aah, aah, aah
sio kwamatendo, bali ni zawadi kutoka kwa mungu. maana sisi ni kazi ya mkono wa mungu
verse #2
anitiaye nguvu mimi ni yesu christo, muhumba wa mbingu na inchi ( nguvu zangu zatoka kwake )
nimetolewa mavumbini mimi
( kwa neema)
nilikuwa mbaya nikitenda mabaya
kanitowa ubaya nikawa mzuri ili niuridhi ufalme wa mbinguni
nimekombolewa kwa neema yake bwana
chorus:
nimebadilishwa kwa neema, nimefanywa upya kwauruma zake
nimewekwa huru
yeye ni mungu
atupae nuru
( nuruuu )
verse #3
nuru x2 uh_u_u
hacha walimwengu wani shange hee, nime oko lewa na yule shujaha, simba wa yuda
nij_po pita kati ya bonde la uvuli la mauti sita ogopa kabisa maana ni naye mungu
ninaye baba, baba aaa
kwane neema nime okolewa, kwa neema aaa
chorus:
kwa neema tumeokolewa, aah, aah, aah
sio kwamatenda, bali ni zawadi kutoka kwa mungu. maana sisi ni kazi ya mkono wa mungu
————
nimebadilishwa kwa neema, nimefanywa upya kwauruma zake
nimewekwa huru
yeye ni mungu
atupae nuru
( nuruuu )
كلمات أغنية عشوائية
- 岡本未夕(cv:高木美佑) - it's amazing show time☆ كلمات أغنية
- yolanda mott - where now the horse and the rider? كلمات أغنية
- elodie - tutta colpa mia كلمات أغنية
- jerry herman - i put my hand in كلمات أغنية
- disconnected كلمات أغنية
- peter peter - nosferatu كلمات أغنية
- a+ - megaku كلمات أغنية
- car seat headrest - please mr. pilot كلمات أغنية
- barz da lyricist - clouds [barz part] كلمات أغنية
- scary potter - friday the 13th كلمات أغنية