kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

vhgxr - stare my marturity كلمات الأغنية

Loading...

exodus their numbers ,uta question their genesis
my brain ni molten cradle
niko solo na discover a new horizon
ochuka hold up
wachawi wame meet tena
watch as the moon repackage
long after sonnet imekuwa sumu kwa tongue iko serrated
after your silence wanataka nispit basic poetry license
na hate niki bite my own brother
but sii hii nikama kupata none kwa wheat na chaff
calculate the virus loaded
kama hawatapata n-ggas futi sita broken
mdomo ilimeza cures so natema eulogy kwa page
life si ni picture in motion
nikama nahisi mi ni doc
sumu ya wino
mike wudz,niw-ngapi wanaeza burry hii lesson
golden alchemist
mridhi anaslaughter alphabets kwa binary code

verse two
rhyme na scars
zodiac child,na empower underground clinic
look into the eyes of my pen
utapata testimonies za ochuka crafted kwa archive
“f” death,cancer ni muted silencer
staki uwache page, yatima kwa monument
life iko frozen,yet tunataka kulive forever young
cures si ni, food for the gods manafuctured na stomata
niko na rewrite ya poetries kama telepath
ugly face for cute industry frames
ama niweke eclipse ndani ya morgue
crazy parable
my rhymes kwa gated womb ni severe
nimecarry brain capsules for the brain hip
brotherly epithet ,ease my budden
naset freedom caligraphy kwa mortury doors
ochuka ,where did they covered your grave?
tulizaliwa kwa clinical dirt
so hizi ni mortified dead languages

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...