kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

vereso - onte kamake كلمات الأغنية

Loading...

verse 1
i like to move beyond my time
i like to see beyond my eyes
lakini macho yangu yanidanganya
mpaka yawe kama yako
naomba bwana

chorus
nifumbe macho, nifungue masikio
nifanye kipofu, uziwi utoe ie
nifumbe macho, nifungue masikio
nifanye kipofu, uziwi utoe ie

verse 2
o nimeshinda nikijitafuta, sijajipata
nimeshinda nikiuliza maswali
badala ya kutia masikio ndi
ili neno lako, nilisikie, linilinde

chorus
nifumbe macho, nifungue masikio
nifanye kipofu, uziwi utoe ie
nifumbe macho, nifungue masikio
nifanye kipofu, uziwi utoe ie

bridge
onte kamake
onte kamake

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...