kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

vereso - kesho kesho كلمات الأغنية

Loading...

njoo mpenzi w_ngu
ili nikupende
mpenzi nimekutafuta
mteja haupatikani

njoo mpenzi w_ngu
ili nikupende
mpenzi nimekutafuta
mteja haupatikani

kesho kesho
nitakupenda
asemaye
kesho ni mwongo

njoo mpenzi w_ngu nikupende milele
hakuna kinachoweza kututenganisha kamwe
watoto w_ngu upendo wetu usiwe wa maneno matupu
bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo

njoo mpenzi w_ngu nikupende milele
hakuna kinachoweza kututenganisha kamwe
watoto w_ngu upеndo wetu usiwe wa maneno matupu
bali uwе upendo wa kweli na wa vitendo

kesho kesho
nitakupenda
asemaye
kesho ni mwongo

kesho kesho
nitakupenda
asemaye
kesho ni mwongo

leo leo
nimekubali
upendo wako
wa kweli

leo leo
nimekubali
upendo wako
wa kweli

leo leo
nimekubali
upendo wako
wa kweli

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...