kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

vera sidika - mimi كلمات الأغنية

Loading...

my skin don′t tell me who i am
my colour don’t tell me where am from
money don′t care, black or white bado utahusle

changamoto kibao, haters ndo hao call it a struggle

maneno, maneno kila kukicha maneno
i wish you would understand
sote kwa mwenyezi tuko sawa

cheupe cheusi (ni kwa kupenda)
kubadili madini (ni kwa kupenda)
kutenda mema (ni kwa kupenda)

ningali mim i(mi ni yule yule)
ubaguzi wa nini
ningali mimi (mi ni yule yule)

ningali mimi (mi ni yule yule)
fitina ya nini
ningali mimi (mi ni yule yule)

boss lady mimi nishapanda bei
mtajuaje
nichimbie kisima muingie wenyewe

wenye wivu mjue
mola mpaji kwa wote
tena chuki bure,
haina maana yoyote

maneno, maneno kila kukicha maneno
i wish you would understand
sote kwa mwenyezi tuko sawa

cheupe cheusi (ni kwa kupenda)
kubadili madini (ni kwa kupenda)
kutenda mema (ni kwa kupenda)

ningali mimi (mi ni yule yule)
ubaguzi wa nini
ningali mimi (mi ni yule yule hey)

ningali mimi (mi ni yule yule)
fitina ya nini
ningali mimi (mi ni yule yule hey)

mi ni yule yule hey
mi mi mi mi mi mi
mi ni yule yule hey
mi mi mi mi mi mi

mi ni yule yule hey
mi mi mi mi mi mi
mi ni yule yule hey
mi mi mi mi mi mi

ningali mimi (mi ni yule yule)
ubaguzi wa nini
ningali mimi (mi ni yule yule hey)

ningali mimi (mi ni yule yule)
fitina ya nini
ningali mimi (mi ni yule yule hey)

ningali mimi (mi ni yule yule)
ubaguzi wa nini
ningali mimi (mi ni yule yule hey)

ningali mimi (mi ni yule yule)
fitina ya nini
ningali mimi (mi ni yule yule hey)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...