vdj jones - inachuna كلمات الأغنية
vdj jones, si unajua ni genje ni mbwaya
mavo on the beat…
ati, ni hatari
vile an_z_toka odinary
ni hatari
mi najua hatari ati
ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, tena sana inachuna
ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, tena sana inachuna ati
ukiskia juacali, we jua kunachuna
ukiskia beat ya mavo jua inachuna
bado meno iko vunja mfupa
bado tembo ziko vunja chupa
haribu mtu w_ngu we mezesha
usiku changa we serereka
shisha iko changanya ketepa
round ya pili inakuja we pewa
kunja mtu gizani kisawasawa
mk_mbushe hii chuma ni ya pawa
na kwa wale wanasumbua kwa sana
lazima wajue hii kutu inachuna
ah inachuma, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, twende sana inachuna
ati, inachuma, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, twende sana inachuna ati
[bussa j]
inachuna jaba natafuna
inachuna naskia kujikuna
inachuna, inagonga
nawaroga nikibonga
peng ting nakatia
peng ting napitia
zimeshika mi nadai tu mabeer
zikishika chora saba nadandia
[seska]
huku ukitembеa na nare ni ka kipande
afande sina kipandе niko na omo
mgenjiko toa kwa zabe ni ka ni somo
mkwela kama ni kware sindai ngono
mbasu wa heavy ju ndani walevi
mapeddy mathegi na bado mavedi
namedi na hedi na kando makeki
nakata makeki ni ka ni bash tei la
ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, tena sana inachuna
ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, tena sana inachuna ati
[cityboy]
inachuna
nilipanda veve shash ndo nilivuna
still na kakiwashwa na kikikuna
na kako chonjo konjo conjestina
yeah yeah yeah yeah noma sana
umejaza uzigo
so rewind mitindo
fisi kwa miwindo
nyapia mipindo
ila city naikuna
sio kizalendo
na kakuta nakabless
ila si kufyeko
romance nakapigia nyambizizi
mapenzi juu nimetokea uswazizi
sweet kama kameshikiaga eazy
nakapekenya kanacheka kwikwikwi
ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, tena sana inachuna
ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, tena sana inachuna ati
[psycho]
mi hukata kuchapa ni kama randa
ukinipa ni rubber na kuk_manga
daily mangata mafans venye nawamada
ni kama airtime venye mimi nawabamba
nakupa shot sita bora we uchore saba
kwa kiti, kwa meza hadi kwa kitanda
mi si worker but nitakulima kama shamba
kama passa passa iano nicheze na hiyo diaba
[vuva]
inachuna, ni vuva vuva
niko bumper ukikwama nasuk_ma
mi najituma hakuna dumba
nitakula kubwa mi ka olunga
mbogi mbaya tukipull_up mnatii
si kwa charts si ndo 1, 2, 3
tunawapiga piga buti kama booker t
si ndo huchafua vida hadi mp3
ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, tena sana inachuna
ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna
inachuna, tena sana inachuna ati
[dulla]
mihadare jo ako jaba
niko giso niko murambe
lazima itubambe we wa shada ama ngale
pass hiyo pass sisi mapapa si mafathe
gwas ni ya warasta na rizna jo ni za warasta
mambota piga snapchat, tin piga pass
chota mzinga bila glass
tutazima tu kwa class
kwenye suti ni matrust
kwenye pori ni ki trust
nikibleki niraukie hosi
jo nisuke nurse
vdj jones bila pause
kila mtu on toes
si unajua ni genje
genje ni mbaya
kwa ground vitu ni fire
itabaki unagwayaa
hahahaha the superstar dj
كلمات أغنية عشوائية
- sebastiaan (us) - narrow is the path كلمات الأغنية
- the scourger - pain zone كلمات الأغنية
- koryakovstyle - pokh vashche (пох ваще) كلمات الأغنية
- daisy chain (audiachain) - me myself and my alibi كلمات الأغنية
- lash - better than you كلمات الأغنية
- skibaby - endgame كلمات الأغنية
- riovaz - radiolove كلمات الأغنية
- saint online - cry myself 2 sleep كلمات الأغنية
- grim v3 - gants bleu كلمات الأغنية
- vicious art - komodo lights كلمات الأغنية