
vanessa mdee - unfollow كلمات أغنية
i saw you like her picture
what about me unamfata mpaka twitter
now we know what it’s gon be
i saw you like her picture yeah
what about me yeah yeah
kama hakuna cha kuficha
why don’t you get out off her insta
unanikera kera kera kera kera yeah
unavyopenya penya kwa peji zake
unanikera kera kera kera yeh e e eh
unavyopenya penya kwa peji zake
heeey yeaah
macho yanatamani unfollow
moyo unatamani unfollow
anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
macho yanatamani unfollow
moyo unatamani unfollow
anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
first of all i’m the baddest kwenye peji yake
don’t know what the h_ll, you’re looking for??
au labda shepu yake lipsy macho yake pengine umedata na dimples
hata level zangu huwezi kucompea na level za kwake ni simpo
baby please won’t you hear me. if you know that you need me
unanikera kera kera kera kera yeah
unavyopenya penya kwa peji zake
unanikera kera kera kera yeah e e eh
unavyopenya penya kwa peji zake
heeey yeaah
macho yanatamani unfollow
moyo unatamani unfollow
anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
macho yanatamani unfollow
moyo unatamani unfollow
anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
kama mi nakufaa naomba usimfuate
taratibu atakukaa imani ikutoke
kama mi nakufaa naomba usimfuate
taratibu atakuakaa imani itoke
macho yanatamani unfollow
moyo unatamani unfollow
anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
macho yanatamani unfollow
moyo unatamani unfollow
anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
unfollow
unfollow
unfollow
unfollow
كلمات أغنية عشوائية
- one dollar short - taste of romance كلمات أغنية
- one eskimo - chosen one كلمات أغنية
- one fine day - give it all كلمات أغنية
- one buck short - r.i.p. كلمات أغنية
- one dimensional man - tell me marie كلمات أغنية
- one for the team - apples كلمات أغنية
- one dollar short - keepsake كلمات أغنية
- one eskimo - astronauts كلمات أغنية
- one dollar short - friend كلمات أغنية
- one eskimo - simple day كلمات أغنية