
v-be (ke) - ni sawa كلمات أغنية
yiiililili liii liilili
wuulululu luu luululu
yiiililili liii liilili
wuulululu luu luululu
yele, yelele mama
yele, yelele mama
wolo wolo, wololo mama
(verse 1)
kosa si kosa, makosa ni kurudia
pole sana, kama umevumilia
tulikosana nikaomba ungenirudia
ukanikanya hadharani mbele ya dunia
bet ilichomeka, zimamoto hawakusaidia
ndege aviator ikianguka hawakuniambia
size niliona ona ona na sikufuatilia
jirani alikuteka mali yangu akanikulia
(chorus)
ni sawa
umeniacha nimeachika ni sawa
ningenyamaza yote tisa but for real (for real)
is that who you have picked over me?
umeniacha nimeachika ni sawa
uko sure huyo ndio mwenye unataka? eh, uko sure?
(ni sawa)uko sure unaeza sema with your chest?
eh? uko sure?
but for real (for real)
is that who you have picked over me?
umeniacha nimeachika ni sawa
yiiililili liii liilili (ni sawa)
wuulululu luu luululu (ni sawa)
(verse 2)
naomba on your wedding day stima zipotee
upate fat fingers ring isitoshee
your boyfriend akubuyie kadogi ukidhani ni kacute
kakuume huh, mother in law na father in law uh
wakuchuki e wakiku_o_na
unadhani ye ni catch k_mbe ye ni sperm donor
hiyo ni nini unabonya?
my lord, i wonder, but as long as you’re happy wena
we penda kenye unapenda hii imeenda
(chorus)
ni sawa
umeniacha nimeachika ni sawa
ningenyamaza yote tisa but for real (for real)
is that who you have picked over me?
umeniacha nimeachika ni sawa
uko sure huyo ndio mwenye unataka? eh, uko sure?
(ni sawa)uko sure unaeza sema with your chest?
eh? uko sure?
but for real (for real)
is that who you have picked over me?
umeniacha nimeachika ni sawa
yele, yiiililili(yeee)
yele, yiiililili(yeee) ni sawa
wolo, wololo mama (wooo)
wolo, wololo mama (wooo) ni sawa
yele, yelele mama (yeee)
yele, yelele mama (yeee) ni sawa
wolo, wololo mama (woooo) ni sawa
كلمات أغنية عشوائية
- george alexander & the mellomen - el dorado كلمات أغنية
- velial squad - apathy كلمات أغنية
- brightwell - scripts كلمات أغنية
- ezra allen - cage كلمات أغنية
- carlos jean - última jugada كلمات أغنية
- billy talent - dudebox كلمات أغنية
- d' assis - 6 ladraum كلمات أغنية
- moro - los كلمات أغنية
- harold budd - poem: distant lights of olancha recede كلمات أغنية
- eurêka - la prière كلمات أغنية