kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

unknown artist – kilimanjaro (bonus track) كلمات اغاني

Loading...

mpenzi w-ngu naomba nikueleze pendo langu lililo moyoni moyoni mw-ngu

mpenzi w-ngu mwenyezi mungu, muumba ardhi na mbingu ndio shaidi wa pendo lililo moyon mw-ngu

mapenzi ni kuvumiliana nami mpenzi nimekuvumilia
mapenzi ni kuaminiana nami mpenzi nimekuamini
mapenzi ni kuheshiniana nami mpenzi nimekuheshimu

kama nyota na mwezi vinanavong’aa angani
tuimalishe penzi letu sote
tupeane penzi bila choyo chochote
na bila hiyana kwetu sote
elewa mapenzi ni chombo kinachotuunganisha
nichombo kinachosafiri

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...