kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ukhty dyda - twamsifu كلمات الأغنية

Loading...

twamsifu msifika, muhammad haso shaka
maana ametakasika, twamswalia

(twamsifu msifika, muhammad haso shaka
maana ametakasika, twamswalia)

twamsifu msifika, muhammad haso shaka
maana ametakasika, twamswalia

(twamsifu msifika, muhammad haso shaka
maana ametakasika, twamswalia)

wallah twasikitika, muhammad kututoka
jamii ya dhalilika, اخيل الصباح

wallah twasikitika, muhammad kututoka
jamii ya dhalilika, اخيل الصباح

sisi sote tul’o hapa, tw_tarajia baraka
kwanini waja twasita k_mswalia?

twamsifu msifika, mohamad haso shaka
maana ametakasika, twamswalia

hushangazwa na uuma, baadhi kutusakama
eti tunalolifanya tumelizua

hushangazwa na uuma, baadhi kutusakama
eti tunalolifanya tumelizua

an’okadiria allah, malipo tw_tarajia
tusiache mswalia, tumonadhiria

mwisho nauhasa umma, tusimame sote hima
aswaliwe wetu bwana muhammad ya

mwisho nauhasa umma, tusimame sote hima
aswaliwe wetu bwana muhammad ya

hidaya twaendelea, k_msifu ye nabiya
ah bila yeye tungekuwa gizani piya

twamsifu msifika, muhammad haso shaka
maana ametakasika, twamswalia

(twamsifu msifika, muhammad haso shaka
maana ametakasika, twamswalia)

twamsifu msifika, muhammad haso shaka
maana ametakasika, twamswalia

(twamsifu msifika, muhammad haso shaka
maana ametakasika, twamswalia)

leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
sifa zake nyingi sana (hadii bana)
mtume wetu heshima (hadii bana)
twapambika sifa njema (hadii bana)
kwa raha bila karaha (habibi)

leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
twamsifia hashima (hadii bana)
kipanzi chake karima (hadii bana)
kwa sifa kila aina (hadii bana)
twajivunia mtumwa mwema (leo)

leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
‘sikitika (hadii bana)
mohamad kututoka (hadii bana)
jamii ya dhalilika (hadii bana)
umma unateketa ah

leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
sisi sote tulio hapa (hadii bana)
twaomba maji ya baraka (hadii bana)
kwanini waja twasita (hadii bana)
kwa huzuni _n_lia habibi

leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
hushangazwa na uumwa (hadii bana)
na radhi hutusakama (hadii bana)
lolote tunalolifanya (hadii bana)
tumelizua yatima jamani

leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
anakadiria allah (hadii bana)
malipo tw_tarajia (hadii bana)
tusiache mswalia (hadii bana)
tuwe muhashimia habibi

leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
hidaya twaendea (hadii bana)
k_msifu mnabiya (hadii bana)
bila yeye tungekuwa (hadii bana)
giza tungejionea habibi

leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)
leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
muhammad n’nabiya (mtumwa mwema)

masha allah

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...