
turunesh - zanzibari spice كلمات أغنية
Loading...
mapenzi yaki zanzibari
baby, we ni kitu kali
katisha roho ukisitisha
inatisha ukinani
ukishika ni faya
acha roho mbaya
shtuka ushanifika chini
tushawaka akili
asali yako ni tamu
nachovea pilipili
nadhani ni hisiya
bila sauti unasikia
shtuka tuko kati ya shuka
shika nayeyuka
nashindwa kutammka
kuamka sitaki
only you can take it
only you can take it
maji yangu ni sacramental
tumia ulimi
dunia ni mimi
asili ya mahaba
usiliye baby
peponi ni hapa
nadhani ni hisiya
bila sauti unasikia
kati ya shuka
shika nayeyuka
كلمات أغنية عشوائية
- calenraps - too long كلمات أغنية
- redd alexander - right here waiting كلمات أغنية
- (sic)monic - to the fiendz... كلمات أغنية
- keyce de cecilia - sad times كلمات أغنية
- baky - cesar كلمات أغنية
- gutto - mais forte كلمات أغنية
- robbyrob - r.o.b.b.y. كلمات أغنية
- joey jones - underdog كلمات أغنية
- maxx 39 - 123 كلمات أغنية
- oysterband - street of dreams كلمات أغنية