trio mio - buda كلمات الأغنية
[intro: trio mio]
form, manze si utuite sherehe
leo tupige kelele raha unajipa mwenyewe
si unichome uko na ndom
tukiwashe tupepee
tukate maji tulewee
we bazu cheza kama wewe
grrrt! ahaaa
(stray music)
[chorus: trio mio]
buda buda buda buda
smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta
usifanye nikutume_tenje walenje mkwanja ndula
tupa!
alafu nyamazisha huyo msupa
mi nikinyambisha katanuka
naeza kalilisha juu ya pupa
buda!
smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta
usifanye nikutume_tenje walenje mkwanja ndula..
tupa!
alafu nyamazisha huyo msupa
mi nikinyambisha katanuka
naeza kalilisha juu ya pupa
[verse 1: trio mio]
buda..
show mshi wa kwako afyate, ukitry kuwa hero utashtuka!
manduru akazipige kwa kitanda, right ya kilo itamkuta _ gbv
unadhani hizi ni vipindi za tv g?
w_ngapi wako six feet deep juu ya kuthink wako quick
wrong move naku_cl!ck cl!ck bing!
usijifanyе champee, niko na fee…
mjanjez, sema tu ng’wee
buda wee si jackie chan, bado wee ni kijana nataka ukuwе mzee_
mf_ko uko na shigana? zitoe zote inje teke
bazenga mzima uko na finje pekee?
na tenje ni kabambe, unataka nikushande ya bure na nifinye senke?
wee ni bombo nini?
umesunda maziwa na piwa ndakupee za ubongo mbili
alafu haka kadem kataliwa kalazwe kwa udongo chini
sisi ndo madogo mjini, lazma utiii
kusanya masonko weekly, baridi kwa mgongo _ mpini
rada ni mzing?
[verse 2: scar mkadinali]
for real..
broski k!ll hiyo pressure
kwa hii sh_t si ni maprofessor
hawabebi cash siku hizi mwambie akupee pin ya mpesa
oh yes nimeshajitepa, smile kwa face unaassume nacheka
siku hizi hatuchapani ngeta, i’m reckless naeza tumia seska
yo leta hiyo phone buda leta hiyo goro
ndula socks na naenda na mroro
atalia gosh akiona hiyo koro
anaanza na b_lls akinyonya hiyo ___
boss of course hiyo rende ni wrong
utakula dust before ulete usoo
ntadedi na itoks ama niende na mob
before niende job lazma nibonge na god
gai si we ni scar miuskiza ngoma zako many times
b_tch nyamaza nyenyenye must ntak_mada ata kama wee ni fan
mwili tunawacha hapa jeri sai
siwezi rudi jela any time
(gunshots) kwaheri fam
f_ck tunamjua huyu ni jerry, gai!
[chorus: trio mio]
buda!
smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta
usifanye nikutume_tenje walenje mkwanja ndula..
tupa!
alafu nyamazisha huyo msupa
mi nikinyambisha katanuka
naeza kalilisha juu ya pupa
كلمات أغنية عشوائية
- stellar kart - you never let go كلمات الأغنية
- dave barnes - amen كلمات الأغنية
- ludacris - party no mo' كلمات الأغنية
- superchick - with you كلمات الأغنية
- ksm - good enough كلمات الأغنية
- plies - bricks on me كلمات الأغنية
- newsboys - saviour of the world كلمات الأغنية
- ziggy marley - good old days كلمات الأغنية
- diana vickers - four leaf clover كلمات الأغنية
- train - the finish line كلمات الأغنية