trillion thamani - inaumiza كلمات الأغنية
verse 1:
k_mpenda asokupenda kujipendekeza inaumiza sana
k_mjali asokujali kujikwezakweza inachosha sana
muda mwingi umepiga simu inaita anaitazama
akipokea hataki lawama
meseji zake atatuma labda kukujibu na fupi fupi sana
huku mwenza umetuma kurasa
chorus:
tatizo umependa, umependa
kwake umebwaga moyo ooh
tatizo ulompenda ni pretender
ndomaana anaumiza moyo ooh
inaumiza, mapenzi ya upande mmoja bora nikwee mn_z_
inaumiza, kama washajilimbwasa baby niweke wazi
inaumiza, hutaki twende sawa umenizidi kasi
inaumiza, inaumiza moyo ooh
verse 2:
naomba mahakama itungiwe sheria
kuhusu kutendana kudhurumu hisia
mwanzoni mlipenda mkakubaliana
mbeleni mnazozana kwa yasiyo na maana
usisemе hamjaendana
maana mwanzo mlishibana
ungesema kisa pеsa huna
ila mbona unahudumia vema oh
chorus:
tatizo umependa, umependa
kwake umebwaga moyo ooh
tatizo ulompenda ni pretender
ndomaana anaumiza moyo ooh
inaumiza, mapenzi ya upande mmoja bora nikwee mn_z_
inaumiza, kama washajilimbwasa baby niweke wazi
inaumiza, hutaki twende sawa umenizidi kasi
inaumiza, inaumiza moyo ooh
كلمات أغنية عشوائية
- dorian - už se neptám كلمات الأغنية
- west side family - mesazh كلمات الأغنية
- plugs of apocalypse - rusty nail كلمات الأغنية
- d120 - opportunity كلمات الأغنية
- whitenoise (nl) - bakka كلمات الأغنية
- all hail the yeti - sun will never set كلمات الأغنية
- mc maha - fortnite virou hentai كلمات الأغنية
- tonbandgerät - mein herz ist ein tourist كلمات الأغنية
- lil benjas - condena كلمات الأغنية
- mac dre - i don’t كلمات الأغنية