kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

trillion thamani - huniachi كلمات الأغنية

Loading...

intro

hivi ni wewe oh baby oooh
hivi ni wewe gal

verse 1

ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata
na nyingi shurba huko nyuma alizopata hatok_mbuka
nilifanya unyeshewe nauko jangwani angalau
nikakupa vya sawa na yule wa ndani, umesahau
mi mjinga labda we unazo kichwani agharabu
mbona sikukwacha we unache kwanini?

pre_chorus

hili picha haliishi tutajauana
mbona w_ngu nlimchiti na wako ataisoma
penzi mbio za vijiti tunapokezana
mradi tunate na biti tusije wakwaza

chorus

huniachi na sikuachi
sikuachi na huniachi
haka kamchezo katamu
huniachi na sikuachi
sikuachi na huniachi
haka kamchezo katamu
verse 2

tumefanya mengi hunachi kirahisi nitang’aana
j_po umempata mwenzi siweki pingamizi nakubaliana
iweje uniache mbachawa mi nilikusitili ukiwa huna mkeka
nikaikupa vyote kidawaswiti nikamkatili ukanemeka
mmmh!
huyo mwenzangu kataka vya mbwa
atakula kwa mbio
avuje damu alete kodi ya nyumba
mimi chakula na nguo
na moyo w_ngu ulimpora mwenzio
nami nampora na huyo
kuachana katu labda mabambio niimbiwe kalala yoh
w_ngu simwachi, nawе apo sikuachi eh
hata uolewe
nalipa kisasi, cha w_ngu my switi еh
na wako msolole eh

pre_chorus

hili picha haliishi tutajauana
mbona w_ngu nlimchiti na wako ataisoma
penzi mbio za vijiti tunapokezana yalai
mradi tunate na biti tusije wakwaza
chorus

huniachi na sikuachi
sikuachi na huniachi
haka kamchezo katamu
huniachi na sikuachi
sikuachi na huniachi
haka kamchezo katamu

tuendelee
oh noh ooooo
tuendelee
oh noh iyeh
tuendelee
ooooo oooo
tuendelee
oooooh oouuuuhuu iyeeee
w_ngu simwachi, nawe apo sikuachi eh
hata uolewe
nalipa kisasi, cha w_ngu my switi eh
na wako msolole eh

outro

hapo bila bila e
ngoma bila bila e
unamchiti wako na mimi si ninamchiti wakw_ngu
naitwa tee mansa.tments!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...