
tresor - nyota كلمات أغنية
[verse 1]
w_ngonja nini
kuja nishike tu sau shida zetu
mpaka jioni
mi ndapotea mikononi mwako fatou
duniani mambo
siwezi maisha kama wewe haukuje
duniani mambo
siwezi pumua kama wewe haunishike
wasema nini
njoo karibu tuicheze ngoma yetu
tuviche mbali
mapenzi yetu wanadamu si wazurri
dunia ni mambo
siwezi maisha kama wewe haukuje
dunia ni mambo
siwezi pumua kama wewe haunishike
[chorus]
ntakuweka rohoni
mpaka sisi turuke
wewe ni nyota wa moyo
ntakuweka rohoni
mpaka sisi turuke
wewe ni nyota wa moyo
ntakuweka rohoni
mpaka sisi turuke
wewe ni nyota wa moyo
ntakuweka rohoni
mpaka sisi turuke
wewe ni nyota wa moyo
[verse 2]
wachе waseme
situtafute mpaka ilе nja yetu
sifa ni bure
leo na kesho mimi nda kushika mkono
dunia ni mambo
siwezi maisha kama wewe haukuje
dunia ni mambo
siwezi pumua kama wewe haunishike
[chorus]
ntakuweka rohoni
mpaka sisi turuke
wewe ni nyota wa moyo
ntakuweka rohoni
mpaka sisi turuke
wewe ni nyota wa moyo
ntakuweka rohoni
mpaka sisi turuke
wewe ni nyota wa moyo
ntakuweka rohoni
mpaka sisi turuke
wewe ni nyota wa moyo
كلمات أغنية عشوائية
- peter beense - ik hou van jou كلمات أغنية
- naked & famous - sow كلمات أغنية
- alex wiley - quest كلمات أغنية
- bagatelle - she doesn't live here anymore كلمات أغنية
- high school dxd - i got a girlfriend! كلمات أغنية
- shirane - cupid da كلمات أغنية
- otm - love is all that matters كلمات أغنية
- kevin lyttle - drive me crazy (non-album track) كلمات أغنية
- vee tha rula - put it in the air كلمات أغنية
- big deal - avalanche كلمات أغنية