
tresor - niambie كلمات أغنية
[verse 1]
hapa nyumbani unajua
we njo moyo
jamaa inakupenda piya hauoni
niambie jua nini unataka wende
we dada uki enda na mbali
mi nta gonda
safari yako mbone shida we dada
niambie jua nini unataka wende
[pre_chorus]
we dada uki enda fata njia
ile uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yetu baki basi
tu ongeye
[verse 2]
baki tukae pamoja
mpaka mwisho
najuwa mi sikupe wakati
zongeya
nimabiie jua nini unataka wende
we mama ukibeba mapenzi
yako mbali
dunia itakuwa giza hanuone
niambie jua nini unataka wende
[pre_chorus]
we dada uki enda fata njia
ile uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yеtu baki basi
tu ongeye
[bridge]
we dada uki enda fata njia
ilе uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yetu baki basi
tu ongeye
كلمات أغنية عشوائية
- igrekzet - cherry coke كلمات أغنية
- anne sylvestre - trop tard pour être une star كلمات أغنية
- gianni and sarah - burn one down كلمات أغنية
- bb - af كلمات أغنية
- rocko - step on they neck كلمات أغنية
- loquillo y los trogloditas - coleccionistas كلمات أغنية
- mothxr - stranger كلمات أغنية
- крайм волшебник (kraim) - чай (tea) كلمات أغنية
- the paper chase - the war is over كلمات أغنية
- arman cekin - show you off كلمات أغنية