kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tommy flavour - omukwano كلمات الأغنية

Loading...

omukwano ft. alikiba _ tommy flavour

hivi umeshushwa maana uko bie bomba
na nimesitushwa na utamu peremende, ulio nao
mapenzi kikubwa unayonimwagia
ni raha sana mama mama
na leo nikifa nibaki jirudia
ni take over, ni take over
your mind eeh
unanipress, unanipa raha no stress
kukuvesha shenga sogezi
tuombe mungu abless
beiby you are princess
nikoshe smile on your face
na tuombe kwa mungu
nizikwe na wewe daima
omukwano o, naenjoy (aaah aah aaah)
penzi lako niko hoi (aaah aah aaah)
omukwano o, naenjoy (aaah aah aaah)
penzi lako niko hoi (aaah aah aaah)
omukwano oo, omukwamo o
omukwano oo, omukwamo o
mzima mzima kama chatu nimeze beiby
nichange kama pesa ya patu nimake make
oo sinyora (sinyora ee)
nitakuoa, nitakuoa
usijali vile vimaskatu wе uko na mimi
oooh
unanipress, unanipa raha no stress
kukuvesha shеnga sogezi
tuombe mungu abless
beiby you are princess
nikoshe smile on your face
na tuombe kwa mungu
nizikwe na wewe daima
omukwano o, naenjoy (aaah aah aaah)
penzi lako niko hoi (aaah aah aaah)
omukwano o, naenjoy (aaah aah aaah)
penzi lako niko hoi (aaah aah aaah)
omukwano oo, omukwamo o
omukwano oo, omukwamo o
nitakupenda nitakulinda, mi nawe
ooh my baby mimi nawe
cause i got you
nitakupenda nitakulinda, mi nawe
o my mama mama mama iyeee

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...