
tofa jaxx - umenikaa lyrics
moyo w_ngu hausubiri,
nakuwaza yapita masaa
nijifiche iwe siri,
iwapo utanikataa!
wherever i go,
sura yako haipotei
nikikuita hautokei
oh why.
najaribu kukupotezea,
nianze upya nichane kurasa
ila ndo hivyo me nishakuzoea,
kama ulimbo me nimenasa!
when i’m alone
nawasha majani napaa
peke angu angani karaha
umenikaa kama shabaha,
kichwani me na surrender
napambana kukusahau,
bado me najipenda
agoo
agoo
agoo
umenikaa!
tiba ya maumivu ni muda,
nimebakisha nusu saa
niwe kama ulivyo nikuta,
bila penzi lako ili niwe amani
wherever i go,
sura yako haipotei
nikikuita hautokei
oh why.
when i’m alone,
nawasha majani napaa
peke angu angani karaha
umenikaa kama shabaha,
kichwani me na surrender
napambana kukusahau,
bado me najipenda
agoo
agoo
agoo
umenikaa!
umenikaa,
najaribu najitahidi kukusahau
umenikaa
Random Lyrics
- raggasonic - identité lyrics
- 3d corazones - los negros están de moda lyrics
- kirsses - one lyrics
- flux - 4d大舞廳 lyrics
- william genaro - never let go lyrics
- glorya feat. balkan - cenusareasa lyrics
- frvr - r.t.p.t lyrics
- ceeingee - gat lyrics
- sharléne - mal de amor (versión urbana) lyrics
- lonemoon - baeblade lyrics