kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tmk wanaume family - tutoke كلمات الأغنية

Loading...

chorus:
mpenzi w_ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
mpenzi w_ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
tutoke…oh mpenzi w_ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
tutoke…oh mpenzi w_ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)

verse 1:
hii dunia kama tufe, haifanani na kanda mbili
kwani kila aina’ viumbe wawili wawili
duniani’ ndo kifaa changu chenye akili
yaani we ndo mpenzi w_ngu wa kunistiri
nnapokukosa silali, chakula sili, nakuwaza wewe
nakuomba’ mchumba w_ngu unielewe, nikuonapo naisi kwenye jangwa la mahaba
nakupenda kama nnavyo mpеnda mama au baba
sitaki majaba
mrembo w_ngu na ku mind, toka unacheza mdaku
hujui ushakunaku, wala uchangu
na mind uwe mama’ mwanangu ndani ya nyumba
usawa huu naogopa (?) usijе (?) kupa
naamini mchumba, hakuna mwingine’ hatakama sina mapene’ wacha waseme
chorus:
mpenzi w_ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
mpenzi w_ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
tutoke…oh mpenzi w_ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…( toka na mapozi ya ki afrika )
tutoke…oh mpenzi w_ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)

verse 2:
tutoke mpenzi, tutoke lazizi
we vaa chochote kile’ unachokitaka
leo siku ya wikiendi, watu kama sisi’ haswa wapendanao tunakwenda ku_spend
popote pale hata pakiwa uf_kweni, tukakonge nyoyo zetu kwa juisi ya apple hata na passion (eeehn!)
wapo wanochukia’ wanaona hii nafasi, kama una ichezea
wanataka waje wao’ hawakuwezi mtoto, kwanza hawana mvuto
“usiwajali hayo wasemayo, maisha yao kutwa kusema ya wenzao”
hawana dira, wala hawana taswira
wewe w_ngu pekee, sema kitu utakacho
joto nikupepe’
we sema bila kificho’ nimempenda na yeye kanipenda
sio’ kwa ajili ya jina wala u_handsome, sura yenyewe…hapa hakuna, ni upendo tu, uaminifu tu
ndo linajenga pendo letu’ acheni tutoke
hii ndo raha jamani’ ya kuwa na mke
akati anatamba, njia nzima nakula rimba eeehn…si na kifaa
chorus:
mpenzi w_ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
mpenzi w_ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
tutoke…oh mpenzi w_ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
tutoke…oh mpenzi w_ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)

verse 3:
umeshani elewa’ nakupenda honey, (honey!)
nnachotaka sasa’ kukuweka ndani (ndani!)
ili kachaa’ nipate penzi maridadi
wewe na mimi’ mapenzi yetu wasiingilie mtu
usifate ya watu mpenzi, watu wabaya daima
ndio walio sababisha kaekewa yesu; miba
watasiriba, wataniharibia
ingia kwenye gari mpenzi tukanywe bia
usiulize mshiko’ tumpitie mkubwa fella pamoja na tito
wapendanao hujivinjari mwisho wa wiki, basi twende klabu tukacheze muziki
tukajivinjari tuisahau dhiki, milele na milele
mungu atu bariki…
chorus:
mpenzi w_ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
mpenzi w_ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
tutoke…oh mpenzi w_ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
tutoke…oh mpenzi w_ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)

(instrumentals)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...