kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tmk wanaume family - majungu كلمات الأغنية

Loading...

chorus:
fitina, majungu hayaleti maendeleo
kila kukicha jirani (?)
pembeni una ni simanga
pembeni una ni simanga…
fitina, majungu hayaleti maendeleo
kila kukicha jirani (?)
pembeni una ni simanga
pembeni una ni simanga…

verse 1: chegge
nuksi tupu, balaa, mikosi’ imeniandama (imeniandama)
nimechanganyikiwa mpaka maji naita mma (naita mma)
kazi hakuna, mapene hakuna, kachaa hata pamba sina
usinitangazie ubaya, nikaonekana baba ubaya
panapo watu wengi, hapakosi majungu
wanajifanya wana discuss’ wamejitenga mafungu
chegge, tembele’ twende jino kwa jino mwanangu, usiandikie mate wakati kuna wino (wakati kuna wino)
tufanye kazi pamoja, mpaka utakapofikia kutembelеa mkongoja
hatufanani majina, hatufanani sura, hatufanani ujasiri, hatufanani akili
nashangaa al haji sheikh mutarakhmy’ zake ni majungu na misemo ya pwani
ami…! tsunami ,tsunami, laja hilo…! (alaah!)

vеrse 2: dollo
huko huko!
siku izi mbona umekataa kabisa home unashindwa hata kuja kututembelea
tulijua unazo’ una mambo, k_mbe unajitia fedhea
tuna sikia, tuna jua, huku tuki uchubua
tunajua wewe ni kijana mdogo’ bado hujakua
unapiga majungu, unaona ndio mtaji ( mtaaaji…)
mbona vipi? au tukupe fomu usaini uende kushiriki miss, mashariki ya kati?
uko tayari’ sema hutaki
kuna nafasi ya mtu mmoja’ moja imebaki
wacha ubitozi, hip hop hauitaji kujisifia
umekula ganja; hujala, vuta hisia
hivi kwanini kuna watu wanashika mic alafu wan_z_chezea chezea? (chezea)
basi kwa tarifa yenu’ t.m.k. ndo mwanzo… na bado…
[chorus:]
fitina, majungu hayaleti maendeleo
kila kukicha jirani (?)
pembeni una ni simanga
pembeni una ni simanga…
fitina, majungu hayaleti maendeleo
kila kukicha jirani (?)
pembeni una ni simanga
pembeni una ni simanga…

verse 3: mh temba
maisha ushirikiano’ usikonde maskini mwenzangu
tuko pamoja bwana’ labda unisaliti wewe
kusema sema wenzio, unaona usha win eeh
unasifika kwa umbea, majungu na kuchonga mdomo
najua utafika kikomo tu
ongea nikiwepo basi ili nikuone shujaa
sio nikitoka’ na we ndo unafoka,una ropoka
mdomo upo bize kwa ajili ya kusema sema wenzio
k_mbe nilifanya kosa’ kukuonesha kwetu…?
ndo ukaenda kupakaza, kucharaza kwetu pa chafu, ndani hamna sakafu, chumba changu karibu na bafu
mbona ubwabwa ulikula, hukwenda kusema hatupiki’ tunaendekeza dhiki
ubaya, ubaya tu
chumvi, chumvi tu
ujue una niudhi’ ujue_ujue ushaniudhi
ukiwa una penda mabaya, na wewe utaenda pabaya
unawasema wenzio vibaya’ tena bila haya
we ni nani hapa duniani hujui’ mkubwa mungu
utashindana na nani ulimwenguni’ mkubwa mungu
najijua sina adui, kama yupo’ simtambui
usiseme eti kufa wakati wenzio wan_z_penda
wakikuskia’ watakutenda
hakuamuli mtu’ umelikoroga acha ulinywe
faida ya umbea, majungu mwisho wake manundu
ah!
[chorus:]
fitina, majungu hayaleti maendeleo
kila kukicha jirani (?)
pembeni una ni simanga
pembeni una ni simanga…
fitina, majungu hayaleti maendeleo
kila kukicha jirani (?)
pembeni una ni simanga
pembeni una ni simanga…

verse 4: kr mullah
(ha ha ha)
ni mwendo wa kuteta’ nashangaa ukija kwetu unacheka
majungu juu ya majungu’ basi ni balaa tu
fulani kavaa nini’ naniliu kala nini’
mambo yasiyo kuhusu’ wewe unayafuatia nini?
ukizoea, utazoea (?) ata chumvi nayo utaongeza
hao kina temba skuizi hata mchana hawali
eti chai ya asubuhi wao wana shushia na ugali
ni unafki, kuteta, kulonga, kuhakikisha mwenzio una mroga
“ujue hii shilingi elfu tano inabidi tumpe mama akaieke, alafu kesho ikifika tukaifanyie makeke”
wacha mapepe’ lete tupete…!
si tunaelimisha, iki kuuma ujue ujumbe ndo ushafika
chako kizuri, cha mwenzio kibaya
haya potelea mbali!
nenda kanitangazie ubaya…
chorus:

fitina, majungu hayaleti maendeleo
kila kukicha jirani (?)
pembeni una ni simanga
pembeni una ni simanga…
fitina, majungu hayaleti maendeleo
kila kukicha jirani (?)
pembeni una ni simanga
pembeni una ni simanga…

outro:
haloo’ eh
kuchonga sio kuzuri, nge’nga, unafiki, fitina, ‘chuki sio nzuri…
kwa sababu mdomo ungekuwepo unalipiwa kodi, ungemsema nani wewe?
we una hela we ya_ yakuja kuwasema wenzio, kama ungekuwa unalipa kodi?
na nna jua ukinuna tu, ujumbe ushafika…
(he he he!)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...