timmy tdat - boss كلمات الأغنية
una miguu independent zimejibebea ass
wanadai wakupige kuni na we unatumiaga gas
we ni mhumble za bae unagotea waras
ttttt (mavo on the beat)
girl unajisakiaga doh we ni boss
we ndo unawachoraga job we ni pori
wengine wanataka kuwa wewe ni baller
na machali wanapenda kukuscore we ni goal
niimbie basi live it up, we hukuli fare
live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks
niimbie basi live it up, we hukuli fare
live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks
hizo zote ni zako hujaborrow
wengine wakilala my girl hujadoro
unashinda golddigger hata kwa ugoro
we ndo their leader my girl hujafollow
kitu poa nampenda ni mthick
huwezi k_mpata tu ju umebeba d_ck
stori haikopeshi ata najua ni msick
lazima ukuwe boss nikuwe namesake
you no pay them attention you pay your bill
congratulation __ sign that deal
single mummy so you play that deal, huh done deal
girl unajisakiaga doh we ni boss
we ndo unawachoraga job we ni pori
wengine wanataka kuwa wewe ni baller
na machali wanapenda kukuscore we ni goal
niimbie basi live it up, we hukuli fare
live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks
niimbie basi live it up, we hukuli fare
live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks
mama mia mi ni boss
s_xy pia pata dose
wananikanyagia mashosti
eti nadanga eti naw_nga ili nipate kesho
silali home kusubiri danga
always on the one nakimbiza chanda
akili nimejaza vitabu utasema lecture
nilie kwa ukuu wa dada coz wewe ni fighter
coz no matter how many times you keep falling
don’t let anybody make you feel like you ain’t important
you are an original be like not foreign
let them keep hanging and the blessings keep falling
girl unajisakiaga doh we ni boss
we ndo unawachoraga job we ni pori
wengine wanataka kuwa wewe ni baller
na machali wanapenda kukuscore we ni goal
niimbie basi live it up, we hukuli fare
live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks
niimbie basi live it up, we hukuli fare
live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks
huyo dem hakuneed, huyo dem anakuwant tu
ashabuy shamba we kazi ni kulima tu
usispend doh yako we unaspendigi tu time tu
ananishuksha kazi ni kuhang tu
una miguu independent zimejibebea ass
wanadai wakupige kuni na we unatumiaga gas
unagotea waras
girl unajisakiaga doh we ni boss
we ndo unawachoraga job we ni pori
wengine wanataka kuwa wewe ni baller
na machali wanapenda kukuscore we ni goal
niimbie basi live it up, we hukuli fare
live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks
niimbie basi live it up, we hukuli fare
live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks
كلمات أغنية عشوائية
- nova (soundsbynova) - not around 2 كلمات الأغنية
- artminaty - sunlief كلمات الأغنية
- levina - perfect life (french) كلمات الأغنية
- moose - frank the tank 2015 كلمات الأغنية
- opaali - valehtelen كلمات الأغنية
- d!verse - profile كلمات الأغنية
- anne sylvestre - j'ai le cœur à l'ombre كلمات الأغنية
- death valley dreams - never meant for anyone كلمات الأغنية
- mr. incarcerated - outro كلمات الأغنية
- bikey dekada & nixx - hotelyouth كلمات الأغنية