kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

the nine c - penda jirani كلمات الأغنية

Loading...

acha fitina
acha kuteta jirani yako ndugu yangu
kwa sababu shida iki kupata
yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
oooh ooh

mungu anasema
penda jirani
penda jirani

acha chuki acha uongo
ina leta matenganyo kati jirani
tafuta masikilizano
oooh ooh

mungu anasema
penda jirani
penda jirani

mwenye anapenda ndugu yake
ana ishi katika mw-ngaza
ooh oh
uta sema jee una penda mungu
kama una chuki kwa jirani
oooh ooh

mungu anasema
penda jirani
penda jirani

wewe ambae ume pata neema
yaku sikiya mwimbo iyi badirika
ukisha mpenda
ata kama yeye aku pendi
uta barikiwa na mungu

penda jirani jinsi unaji penda
timiza neno la bwana mina kuomba
usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
penda kwa ukweli popote unapo enda

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...