
the moipet quartet - pole musa كلمات أغنية
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa
taabu…
taabu…
taabu
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
oye, oye, tafadhali musa
tafuta bibi atakayeweza
kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye
ukinywa munyeke wamnywia yeye
pole…
pole…
pole.
كلمات أغنية عشوائية
- los jilgueros del pico real - los arellano félix كلمات أغنية
- that lakshay - kyun. كلمات أغنية
- boryaskaterap, nehochuspat - let's go كلمات أغنية
- los cassettes de alice - volcán de sol كلمات أغنية
- pinkii - pictures uwu كلمات أغنية
- gjan - meldžiuosi už tave كلمات أغنية
- patrick topping - baby daddy (sperm donor) كلمات أغنية
- miki jevremović - najlepšoj كلمات أغنية
- webb pierce - shame shame shame كلمات أغنية
- milestones - gun كلمات أغنية