
the humbled tanzania - yanatisha كلمات أغنية
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k_mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k_mtii
unapokosa nguvu ya kwendelea
umwendee yesu
ana nguvu ajabu
nguvu zake mungu
zaweza tenganisha mwili na roho
ziliumba ulimwengu
zashangaza ajabu
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha, yanatisha, yanatisha
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha yanatisha yanatisha
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ni mungu wa huruma
ni mwingi wa rehema
ni mungu wa furaha
ana nguvu ya kubariki
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k_mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k_mtii
كلمات أغنية عشوائية
- big meeg - fanax كلمات أغنية
- kofs - le fameux كلمات أغنية
- akugi - week end كلمات أغنية
- dimpl - feel right كلمات أغنية
- okay(k) - i can’t get you off my mind كلمات أغنية
- poori - untiteld ii كلمات أغنية
- gibbby - d1rtyp0p qu33n كلمات أغنية
- hkt48 - そういうことfebruary كلمات أغنية
- honeyberrydrip - interview: كلمات أغنية
- bonnie madison - mammy's boys كلمات أغنية