kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

team porte - represent ddd كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
shubidubi doop doop doop
dooo aye!
aye…ayyye
hotsea!!!

[verse 1 (hotsea)]
natamani ningekuwa na ndai
lakini kabla hii ndai
wacha nibuy hii bike (bike)
mabeshte zangu wote wako alive
na kama si wa ‘kweli huu urafiki mie sidai (dai)
alphabet naanza na a
amazon web services na bei (mzuri)
mziki nani kw-ngu ndio bae
python, capistrano…ruby, pearl ndio bae

[chorus]
naamka asubuhi natia bidii
nachapa gumzo na watu ka wawili
narep nini kama sio ddd?
najenga maisha toka hapa ddd x2

[verse 2 (sammy)]
now we are here standing strong
i believe what the elders said
there is always a light
right at the end of the tunnel
with confidence, determination y’all
we are gonna achieve
kwa nguvu na bidii yote ‘tatimiza

[chorus]
naamka asubuhi natia bidii
nachapa gumzo na watu ka wawili
narep nini kama sio ddd?
najenga maisha toka hapa ddd x2

[verse 3 (anto)]
ni mungu ni baba
muite vile wapenda
jehova, maulana
jina zote ye hupenda
ametu-guide from before
everyday anatupenda
with him on our side
inabaki sisi ndio kusema
tuliwashinda round one mukamark kwa calendar
round hii tunawashinda twawa-invite muwe members
kwa hii kikosi ya watu wana talanta
vipaji au ukipenda pia mateachings
si maringo ama diss ni nafasi tumepata
tuwasho mulicho omba mtapata
compe ni safi, clean game sio karata
and if you don’t believe

[chorus]
naamka asubuhi natia bidii
nachapa gumzo na watu ka wawili
narep nini kama sio ddd?
najenga maisha toka hapa ddd x2

[verse 4 (izzo & hotsea)]
kalilia wembe tukampa hadi jembe
the best, stars, no limit we are soldiers
billy nelson ndio commander-in-chief
tangu enzi za shebang
boss mushatutambua
alikuwa amiss hii show
lakini singemwacha aende hivyo
beshte yangu izzo
alikuwa macho
nikamsho basi cheza hivyo
beshte yangu izzo

[chorus]
naamka asubuhi natia bidii
nachapa gumzo na watu ka wawili
narep nini kama sio ddd?
najenga maisha toka hapa ddd x2

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...