kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

t.i.d. "mnyama" - mrembo كلمات الأغنية

Loading...

[chorus: t.i.d.]
nasema tena mrembo
oh, oh
nasema tena mrembo
(wewe, wewe)
mrembo w_ngu niambie wewe nini unataka
(wewe sema tu)
pendo lako kw_ngu mimi (?)
(mrembo)
mrembo w_ngu niambie wewe nini unataka
(sema tu)
pendo lako kw_ngu mimi (?)

[verse 1]
macho yako kama gololi
pua zako za mmaasai
midomo yako minene, sina lakusema tena wewe
popote niendako, chochote nifanyacho nakuwaza wewe…
mrembo, oh

[chorus]
mrembo w_ngu niambie wewe nini unataka
(we sema tu)
pendo lako kw_ngu mimi (?)
(na_na_na, mrembo)
mrembo w_ngu niambie wewe nini unataka
(we sema tu)
pendo lako kw_ngu mimi (?)
[verse 2]
popote niendako, chochote nifanyacho nakusaka wewe…
mrembo, oh
miaka na (?) kwa hudi na ubani
sikuoni wewe…
mrembo, oh

[chorus]
mrembo w_ngu niambie wewe nini unataka
(we sema tu)
pendo lako kw_ngu mimi (?)
(na_na_na, mrembo)
mrembo w_ngu niambie wewe nini unataka
(we sema tu)
pendo lako kw_ngu mimi (?)

[pre_chorus]
hawanitishi, tishi
(gado)
hawanibabaishi
(ngangari)
ile mipango vipi?
(sema nao)
tuliagana vipi?
(gado)
hawanitishi, tishi
(ngangari)
hawanibabaishi
(gado)
ile mipango vipi?
(ooh, yeah)
tuliagana vipi…?
(ooh, yeah)
yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
na_na_na
[outro]
mrembo w_ngu niambie wewe nini unataka
(we sema tu)
pendo lako kw_ngu mimi (?)
we sema nami, sasa hivi
(mrembo)
mrembo w_ngu niambie
(we niambie, nini unataka)
(sema tu)
pendo lako kw_ngu mimi (?)
(nitakupa gari, nitakupa fedha)
mrembo w_ngu, niambie wewe nini unataka
(nitakupa kila kitu mi nasema)
au hunielewi, wewe mtoto vipi?
(sema tu)
pendo lako kw_ngu mimi [?]
nakuambia, tia akili
kila kitu, kila kitu mimi nitakupa…
(fades away)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...