
stevo simple boy - glory كلمات أغنية
[intro]
mighty lord
i give you glory
mkostii nipee beat
hahahahahahaha
it’s your boy stivo simple boy
ndio manake
[chorus]
glory glory glory glory glory, glory
glory glory glory glory glory, glory
napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
napiga saluti pahali mi naenda, no worry
glory glory glory glory glory, glory
glory glory glory glory glory, glory
napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
napiga saluti pahali mi naenda, no worry
[verse 1]
mighty lord, i give you glory
you know me better, tangu utotoni
mighty warrior, jehovah rafa
jehovah nisi is your is your name
i kneel on my knees, i call your name father
holy ghost fire, the devil is a liar
is trying to pull me down, but you lift me higher
that’s why i lift you higher, jehovah adonai
aki why lie, your word is true
you never lie mambo yako iko poa, yaani iko sawa sawa
lord of universe, your things are marvelous
no one can copycat, uh
siku zote umelinda, mlima na mabonde
wewe unanijali, kwa kila hali
kwako napiga kambi, damu yako imenilinda mi
i don’t worry, because you are worthy
[chorus]
glory glory glory glory glory, glory
glory glory glory glory glory, glory
napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
napiga saluti pahali mi naenda, no worry
glory glory glory glory glory, glory
glory glory glory glory glory, glory
napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
napiga saluti pahali mi naenda, no worry
[verse 2]
wewe si kiatu, usikubali kuwekwa chini
fuata ndoto yako, manze kuwa na ujasiri
weka mungu mbele mambo itakua fiti
usiwe mkatili, maringo ni ya nini?
kwa uzembe sema “no no”
zidi kujituma more more
usiseme hauwezi, manze kamilsha iyo ndoto
mola ako na mpango, kukutumia ka mfano
wakikuona watakua wanaitisha ma_photo
nalala kwa kitanda ndogo na_dream big
from zero to hero, from nothing to something
nimeshika signal vile mi hukuwa busy
kwa studio natoa ngoma niwashike kama homa
nashukuru wale wote wanao nisupporti
na kunisimamia ka wakili kwa korti
nguvu mingi nimebeba sitawaangusha
kutoka kenya, kampala hadi kule arusha
[chorus]
glory glory glory glory glory, glory
glory glory glory glory glory, glory
napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
napiga saluti pahali mi naenda, no worry
glory glory glory glory glory, glory
glory glory glory glory glory, glory
napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
napiga saluti pahali mi naenda, no worry
glory glory glory glory glory, glory
glory glory glory glory glory, glory
napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
napiga saluti pahali mi naenda, no worry
glory glory glory glory glory, glory
glory glory glory glory glory, glory
napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
napiga saluti pahali mi naenda, no worry
كلمات أغنية عشوائية
- pearl jam - dance of the clairvoyants كلمات أغنية
- royplus, der attention - an american crime كلمات أغنية
- artificial construct - wither; wilt كلمات أغنية
- trey schafer - home كلمات أغنية
- xfruge - how can you say these types of lies كلمات أغنية
- lil uzi vert - belly (original version) كلمات أغنية
- serge gainsbourg - dieu fumeur de havanes كلمات أغنية
- lucki - fast life كلمات أغنية
- criss - te quiero presumir كلمات أغنية
- rotto - stunned كلمات أغنية