kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

steve rnb - jambo jambo كلمات الأغنية

Loading...

oh nananaah
oh nananaah
oh nananaah aah

nasema jambo jambo mama
habari gani nzuri sana
ukiniacha ntaumia
mwenzio nishakuzimia

nasema jambo jambo mama
habari gani nzuri sana
ukiniacha ntaumia
mwenzio nishakuzimia

uzuri wako umenifanya
niwe nawe girl
niwe nawe kabisa

tabia ndio imenivuta, niwe karibu
moyoni niwe na furaha baibe
na furaha baby

hakuna ataenitenganisha
nitenganisha
niwe nawe mbali ma

nimungu peke anaweza
anapenda sote tuwe nafuraha baibe
nafuraha baibe

without you, without you
nothing i can be
without you, without you
no steve_rnb

without you, without you
nothing i can be
without you, without you
no steve_rnb (yeah)

natamani niwe nawe kila saa
usiku na mchana hakuna njaa
uwapo we pembeni
kweli najivunia girl

karibu ndani yangu washa taa
ndani giza nene acha mshuma
sikia hizi hisia
karibu ndani naumia yeah

jambo jambo mama
habari gani nzuri sana
ukiniacha nitaumia
mwenzio nishakuzimia

nasema jambo jambo mama
habari gani nzuri sana
ukiniacha nitaumia
mwenzio nishakuzimia

without you, without you
nothing i can be
without you, without you
no steve_rnb

without you, without you
nothing i can be
without you, without you
no steve_rnb (yeah)

without you, without you
(without you baibe)
nothing i can be
(nothing i can be)
without you, without you
(without you girl)
no steve_rnb (yeah)

without you, without you
(without you baibe)
nothing i can be
(nothing i can be)
without you, without you
(without you girl)
no steve_rnb (yeah)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...