steve jnr - perfection كلمات أغنية
sikuhizi ni art ndio iko kwa mind venye nafeel me nikirhyme
future ni bright god ndio sign kila kitu joh zinajialign
mamorio manambli nawaonyesha mgongo ikibidi mtalipa fine
mkidai mlete hiyo love na hate sijali ju me niko fine
the blacker the berry the sweeter the juice
i call it perfection
hamuezi fanya venye me naidu
rap ni koti venye inanisuit
kuna connection ya me na the universe so ni aje the boy atalose
very unique
and it’s so evident uwezistudy venye ninamove
the blacker the berry the sweeter the juice
miujam kila time nacheki news
nadigi mweshimiwa vile anabanja
hajielewi ako confused
hawezi tambua ata mistake
vile hatuko free in a free state
weeh ni rapper na hutumii your art kubonga
yes to us you’re a disgrace
kuna mkidi amekam anadai kukua karao ju budake ni police man
nikashangaa he’s just a kid ndamshow aje budake is part of the system
ndasema aje role ya budake ni k_maliza people from a distance
hii ni food for thought unaezaketi pia ulisten
who’s responsible sahii kuishi vifiti ni mission impossible
tunasaka njia za kucope tupate hope me naona nitapush coke
chwaki imejaa tu mamemories
tukitaka kubonga ni felony
kw_ngu doba ni 9 to 5 walai no wonder ninazama melodies
sikuhizi ni art ndio iko kwa mind venye nafeel me nikirhyme
future ni bright god ndio sign kila kitu joh zinajialign
mamorio manambli nawaonyesha mgongo ikibidi mtalipa fine
mkidai mlete hiyo love na hate sijali ju me niko fine
the blacker the berry the sweeter the juice
i call it perfection
hamuezi fanya venye me naidu
rap ni koti venye inanisuit
kuna connection ya me na the universe so ni aje the boy atalose
very unique
and it’s so evident uwezistudy venye ninamove
ah!
كلمات أغنية عشوائية
- george butterworth - i will make you brooches كلمات أغنية
- ivohé - blessing 4 the heart كلمات أغنية
- anssi kela - p niin kuin puukko كلمات أغنية
- carolina martins - cashout كلمات أغنية
- doktor spira i ljudska bića - kung fu bojz (bioskop partizan) كلمات أغنية
- bloodcryy - finalize كلمات أغنية
- smol fish - sad girl summer كلمات أغنية
- king khemoo - lets go كلمات أغنية
- kc rebell - let's go كلمات أغنية
- bad computer - <32n كلمات أغنية