kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

steve jnr - notification كلمات أغنية

Loading...

nipate ni mimi na mic na pen kwa booth on a regular basis
nastick na plan ninachora ndio death ikikam niko ready kuface it
boy ako real siezifake sh_t game bubu so me siezisay sh_t
it’s only a matter of time nipop on top ka notification
niko patient
nitachonga nigrind niwaonyeshe proof ya dedication
siurise to the occasion, work_prayer hiyo ndio combination
nikisema nadishi vifity ni ugali managu kinda situation
mlisema ati nani ndio goat? afande wanafanya impersonation!!!
kila kitu ni god amepanga unataka mimi sa ni say
kwa book kwa mic kwa track kila place kuna vile nakimbiza pay
najua nikichonga mnacheki mistari tu lakini me naona mak
nataka nifikange bei nisare kubargain
nipate ni mimi na mic na pen kwa booth on a regular basis
nastick na plan ninachora ndio death ikikam niko ready kuface it
boy ako real siezifake sh_t game bubu so me siezisay sh_t
it’s only a matter of time nipop on top ka notification
so ka nitawin ama nitalose mwisho ya rodi nasee success
sitamind k_movingi solo bora najua hutawai nipata na the rest
watu come watu go kwa life ya mine nyi wote ni guest
me nimetoka mtaa mahali naenda ni far siwezikupea address
kuna the feeling uko kwa zone then unapata cheki the ceiling
ushaijipata unajibu maswali if you can do anything for shilling
siwezi ogopa kutry but ni funny soul iko willing
kuna better fish to fry ju huku njei kuko unforgi_
unataka kupreach kwa doba nani atazaski? huh ni sawa tubet
mbleina anataka nichome me nishachoma nangoja sa kureset
natumia mawords kupaint ka huezi rada kwako itakaa silhouette
magoal zenye me niko nazo ninajua ni god ameset
nipate ni mimi na mic na pen kwa booth on a regular basis
nastick na plan ninachora ndio death ikikam niko ready kuface it
boy ako real siezifake sh_t game bubu so me siezisay sh_t
it’s only a matter of time nipop on top ka notification
niko patient

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...