ssaru - zitoke كلمات الأغنية
[intro]
london london
ssaru, ssaru
hewa cheza kama wewe
[verse 1]
nimefika na niko na kusudi
nimekuja kukubamba nikimaliza ndo nirudi
niskize kwa sababu huna budi
hizi mistari za leo nimezitoa tu burundi
kwanza nacheki uko moody ah
pili napenda hio hoody ah
ata ka we ni msee wa nduthi
amka usakate juu uzembe ni upuzi mmh
mpaka jasho linuke ushuzi
ushuzi, ushuzi, shuzi shuzi
siku hizi mnaringa mko choosy
choosy choosy, choosy choosy
[pre_chorus]
moto mpaka unashindwa kuhandle
niko kwenye flow songa kando
karibia ninong’one jambo
mi staki jua kama umetoka ng’ambo
[chorus]
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
[verse 2]
mmh fire rende inagwaya
ngoma inachuna nipeleka ulaya
hapa ukilegea tunakukaza na pliers
kutwa hadi kucha kuja na akina piers
mmmh zitoke mi nikuokote
you say my name nikupeleke popote
ssaru nitakupa chochote
hata kama ni mbali tutafika huko kwote
jichoche choche jichoche jichoche tu
ayy zitoke ayy toke zitoke tu
[pre_chorus]
moto mpaka unashindwa kuhandle
niko kwenye flow songa kando
karibia ninong’one jambo
mi staki jua kama umetoka ng’ambo
[chorus]
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
[post_chorus]
mkongwe zitoke mpaka uzee ukutoke
kata kata, fanya denste nakulipia token
kata kata, zitoke eey we mama zitoke tu
kata, zitoke we baba zitoke tu, kata!
[chorus]
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
zitoke (zitoke), ayy zitoke (zitoke)
[outro]
it’s your favourite boy kash keed on the track
كلمات أغنية عشوائية
- the workday release - opposites كلمات الأغنية
- chad de la cour - frequente كلمات الأغنية
- улица восток (ulitsa vostok) - posledniy vals كلمات الأغنية
- wigwam (fin) - the silver jubilee كلمات الأغنية
- tom vs tom - lava lamp feat. vdp كلمات الأغنية
- zuno mattia - proiettili كلمات الأغنية
- turf talk - sav out كلمات الأغنية
- mr.children - ためいきの日曜日 (tameiki no nichiyoubi) كلمات الأغنية
- umi - bet reimagined كلمات الأغنية
- megan - forget that كلمات الأغنية