kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sollo brown - mangapi كلمات أغنية

Loading...

#instrumental

yeah, yeah

sound’s better

eeee eeh

skaiii

ukiwa peke yako ooh

fikra wazo lako ooh

watu wanakusema wanakupiga vita kila maraa

yeah

hata imani ikayumba

shika ulichonacho so kasumba

k_mbuka unaweza ukitaka aah yeah

kupata kukosa juu yake ( aaaaah aaah ah)

kama maneno acha yasemwe ( aaaah aaah ah)

wewe ni dhahabu lazima ung’are ( aaaah aaah ah )

riziki yako ipo palepale

kupata kukosa juu yake ( aaaaah aaah ah )

kama maneno acha yasemwe

wewe ni dhahabu lazima ung’are ( aaaaah aaah aaah aaah )

riziki yako iko palepale

wamesema mangapi siku zinasonga

wamefanya mangapi hatua ninapiga

wamesema mangapi siku zinasonga

wamefanya mangapi hatua ninapiga
#instrumental

una stashahada lakini kazi hakunaga

umekosa ada na shule umef_kuzwa

mitihani umefeliii yaan kila kitu zigzaga

unahisi mungu kakuacha na binadamu wanakung’ong’a

miaka kadhaa umeumwa ndugu hawakutaki wamenuna

rafiki zako vipi wanaona habari yako insha wanasoma

usiwasikilize usiyaweke moyoni moyoni hiii iiii yeah

kupata kukosa juu yake

kama maneno acha yasemwe

wewe ni dhahabu lazima ung’are

riziki yako ipo palepale

kupata kukosa juu yake ( aaaaah aaah ah )

kama maneno acha yasemwe

wewe ni dhahabu lazima ung’are ( aaaaah aaah ah )

riziki yako ipo palepale

wamesema mangapi siku zinasonga

wamefanya mangapi hatua ninapiga

wamesema mangapi siku zinasonga

wamefanya mangapi hatua ninapiga

kusudi la mungu kw_ngu lipo

nitapambana hadi mwisho

sitaogopa na vitishoo oooh ooh

kusudi la mungu kw_ngu lipo

nitapambana hadi mwisho

sitaogopa na vitishoo ooh ooh

wamesema mangapi siku zinasonga

wamefanya mangapi hatua ninapiga

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...